Tiba ya damu kuzidi mwilini ni ipi?

Tiba ya damu kuzidi mwilini ni ipi?

Yap: Stress ni mduara mgumu:
Stress vs Hakuna usingizi vs kuchoka vs moyo kwenda mbio vs hakuna hamu ya kula vs maswali magumu vs utendaji kazi usioridhisha vs kichwa kuuma =>Stress tena na tena.

Ni muhimu pamoja na yote kuvunja mnyororo wa stress.
Kweli mkuu cha msingi ni kuvunja chanzo cha stress
 
Damu ya 170g/L ni ya kawaida kabisa kwa mwanaume. Haiwezi kukuletea madhara yeyote kiafya. Kizunguzungu cha kawaida tu na hakidumu.

Kuumwa kwa kifua nayo kwa namna yeyote haiwezi kusababishwa na damu kuwa nyingi mwilini. Japo hujaelezea kwa undani juu ya maumivu yako.

Nimepitia majibu yako hapo chini, kinachokusumbua ni stress. Pole sana, achilia hivyo vinavyokusumbua. Let it go Mkuu. Yakubali yanayokutatiza kisha muombe Mungu akushindie.

Kutoa damu haina madhara yeyote kiafya. Kama ipo ya kutosha na una sifa za kuchangia damu basi katoe kwa hiari.
 
Asante kwa maoni kifua kinauma ni kama vile kimejam pia kizungu zungu kwwa mfano kuna mda naweza kuwa naangalia Mpira kwenye TV nikaanza kuona maluweluwe au nikikaa nahisi nashindwa kuamka hapo kuna mda nakuwa fiti kuna mda naweza kuwa naongea na MTU tukiwa tumesimama gafla nahisi kama nataka kudondoka lazma nitafte pa kujishikiza...
 
Kuumwa kwa kichwa,kifua na kuhisi kizunguzungu kunaweza sababishwa na shida nyingine za kiafya.
Wingi wa damu wa 16.2-17 ni kiwango cha kawaida sana kwa mwanaume.

Ushauri ni kurudi hosp tena ufanyiwe vipimo tena kutokana na shida yako.

Pole
 
Asante nataka niende aga khan au Hindu mandal
 
Back
Top Bottom