Damu ya 170g/L ni ya kawaida kabisa kwa mwanaume. Haiwezi kukuletea madhara yeyote kiafya. Kizunguzungu cha kawaida tu na hakidumu.
Kuumwa kwa kifua nayo kwa namna yeyote haiwezi kusababishwa na damu kuwa nyingi mwilini. Japo hujaelezea kwa undani juu ya maumivu yako.
Nimepitia majibu yako hapo chini, kinachokusumbua ni stress. Pole sana, achilia hivyo vinavyokusumbua. Let it go Mkuu. Yakubali yanayokutatiza kisha muombe Mungu akushindie.
Kutoa damu haina madhara yeyote kiafya. Kama ipo ya kutosha na una sifa za kuchangia damu basi katoe kwa hiari.