Tiba ya harufu mbaya kama samaki aliyeoza kwenye uke

Tiba ya harufu mbaya kama samaki aliyeoza kwenye uke

Siku hizi ni kama nina bahati mbaya yaan Kila nikiotea kibint nakuta kinanuka ukeni .....yaan vingine vidogo tu lkn balaa....

Naomba msaada wa matibabu ya hii kitu maana Kuna bint mmoja alinisumbua miaka minne ndio kanikubalia siku kuu ya juzi....sasa nikajipanga kupiga doz ya maana lkn bahati mbaya nikakuta ana harufu mbaya sana kama samaki mbichi aliyeoza.... kwakweli niliishiwa pozi mpaka mawazo ya kufikilia kumuona yakakata.

Ila sasa kwasababu nampenda ndio nikaona niombe msaada wa matibabu ya huo ugonjwa Kwa anayefahamu ili atibiwe mm niendelee naye maana bint huyu kachanganya uchagani na unyakyusani...sasa kachukua sura ya Moshi na umbile la Mbeya....hatari sana..

Asante
Minaona, shukuru Jah umepata pakukojolea..😋
 
Huenda ni gono, akapime. Kama vipi huenda ni harufu yake ya asili isiyofutika, ni sawa na anaenuka pua,hata ufanyeje, huo ni urithi.
 
Haya ni miongoni mww magonjwa magumu sana kupona kulingana na mazoea ya walio wengi kwenye jamii.Mpaka mtu afikie hatua ya kutoa halufu kali kama hiyo maana yake tatizo lina muda mrefu! Ajabu mwenye tatizo anataka apone siku tatu jambo ambalo haliwezekani.Yaani una miaka mitano unalea ugonjwa halafu unataka upone siku tatu......! Hapo kama anataka kupona ni kukubali kutumia dawa kwa muda mrefu siyo siku mbili akiona nafuu anahisi kupona kumbe bakteria wamelala,wakiibuka tena wanakuwa na nguvu maradufu kiasi kwamba kupambana nao inakuwa shughuli.
 
Back
Top Bottom