clemence mtei
Senior Member
- Feb 11, 2014
- 101
- 24
Naomba msaada nimetumia dawa na hospitali zote kupata suluhu ya harufu mbaya ya kinywa. Naswaki vizuri ulimi, meno na kwa dawa mpaka za 50k.
Nimetumia karafuu, tangawizi na aina nyingine za madawa ya dukani na asili ila changamoto ipo pale pale nikiongea na mtu anakimbilia kushika pua na kugeuza uso
Naomba msaada wadau. Changamoto inanikosesha raha.
Na hii imevunja ndoa nyingiNaomba msaada nimetumia dawa na hospitali zote kupata suluhu ya harufu mbaya ya kinywa. Naswaki vizuri ulimi, meno na kwa dawa mpaka za 50k.
Nimetumia karafuu, tangawizi na aina nyingine za madawa ya dukani na asili ila changamoto ipo pale pale nikiongea na mtu anakimbilia kushika pua na kugeuza uso
Naomba msaada wadau. Changamoto inanikosesha raha.
Shi ngp hii
Ni ushauri mzuri hapa ni ngumu kupata jibu la tatizo lake kwa sababu hakuna anaejua chanzo.Pole sana.
Ni muhimu ukaonana na daktari ufanyiwe uchunguzi zaidi ili kuweza kubaini chanzo cha tatizo lako.
Pia kama hujawahi kuonana na daktari wa kinywa na meno uonane naye akuchunguze, akufanyie usafi wa kinywa na meno na atakufundisha namna nzuri kusafisha kinywa na meno.
Kila la kheri.
1000Shi ngp hii