MIMI NIMEONA TU MAHALI
Kama ikitokea umefanya unprotected sex kwa bahati mbaya au otherwise.....nenda muone doctor within 24 hours ukichelewa sana 72hours umweleze kuwa umeteleza so akuandikie PEEP(Post Exposure Prophyilaxis ) kwa ajili ya kuzuia maambukizi ya HIV
NI KWELI WADAU HILI?
Kumbe ndio maana mpaka leo bado kuna wanaoliwa pesa kwenye karata tatu. mngekuwa na imani hizi kwenye kumuabudu mungu ingekuwa well n good.It's true,NGO's nyingi huwa wana hizo dawa na wafanyakazi huwa wanaambiwa in case kama umebakwa uende kwa custodian wa hizo dawa within 24hours ili akupatie umeze kwani zinazuia maambukizi ya ukimwi.
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Smile ni kweli kwamba PEP husaidia kuzuia maambukizi ya HIV shortly after contact. kuna siku moja nilikuwa nina deal na damu kwenye utafiti wangu. what happened wakati namfanyia pricking client wangu akatikisa kidole ile niddle ili mchoma yeye na mimi kwa wakati mmoja.
mbaya zaid the client alikuwa +HIV, basi nilichokifanya punde i washed the place kwa maji ya bomba yanayotiririka for about 15 mints huku nikiwa nakibinya damu iendelee kutoka. kisha nikatumia PEP nilipo test after 3 days nikawa safe na nikarudia baada ya wiki ya ni siku 7 still nikamshukuru Mungu.
sasa huko kwenye kusex nako pia husaidia manake itawaahi wadudu kabla hawajajiincubate kwenye ini.

Hapana si kweli PEP inatumika kwa mwezi mmoja kufuatana na treatment guideline ya wizara ya afya. Sijawahi ona PEP y HIV ya muda mfupi kama huo....:target:
Hivi ukitest baada ya siku tatu unapata majibu.
Hapo tupo sawasio kwamba nilimeza kwa siku tatu hapana nilimeza kwa mwez mmoja ila dr alinitaka nipime siku 3 baada na siku 3 nyingine mbele
Mmmmmmh braza! hizo sio kamba tunafungana?Wahi kuosha mtarimbo just after sex (kwa wanaume) - By Jacob Zumaman