Tiba ya kuondoa virusi vya ukimwi mwilini baada ya kulala na mwathirika haraka!

Smile

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2011
Posts
15,347
Reaction score
11,619
MIMI NIMEONA TU MAHALI
Kama ikitokea umefanya unprotected sex kwa bahati mbaya au otherwise.....nenda muone doctor within 24 hours ukichelewa sana 72hours umweleze kuwa umeteleza so akuandikie PEEP(Post Exposure Prophyilaxis ) kwa ajili ya kuzuia maambukizi ya HIV
NI KWELI WADAU HILI?
 
Pia uende na ithibitisho kuwa ulikuwa huna maambukizo kabla. Hii ndio catch inayowashinda hata wafanyakazi wa after ambao kila mara wako kwenye hili tatizo
 
sijakuelewa mkuu
 
Nilisikia siku moja pale hospital ya AMI, ila sijawahi fuatilia
Ngoja nim-consult Dr. gogo
 
MIMI NIMEONA TU MAHALI
Kama ikitokea umefanya unprotected sex kwa bahati mbaya au otherwise.....nenda muone doctor within 24 hours ukichelewa sana 72hours umweleze kuwa umeteleza so akuandikie PEEP(Post Exposure Prophyilaxis ) kwa ajili ya kuzuia maambukizi ya HIV
NI KWELI WADAU HILI?

Wahi kuosha mtarimbo just after sex (kwa wanaume) - By Jacob Zumaman
 
duh smile hii mambo umeitoa wapi ngoja nisubiri majibu ya wadau.
 
It's true, NGO's nyingi huwa wana hizo dawa na wafanyakazi huwa wanaambiwa in case kama umebakwa uende kwa custodian wa hizo dawa within 24hours ili akupatie umeze kwani zinazuia maambukizi ya ukimwi.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Inapatikana wapi nikawahi? Maana punde2 nimetoka kushtua kijoti na sijiamini amini, nahisi moyo umekosa amani kwakweli
 
It's true,NGO's nyingi huwa wana hizo dawa na wafanyakazi huwa wanaambiwa in case kama umebakwa uende kwa custodian wa hizo dawa within 24hours ili akupatie umeze kwani zinazuia maambukizi ya ukimwi.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Kumbe ndio maana mpaka leo bado kuna wanaoliwa pesa kwenye karata tatu. mngekuwa na imani hizi kwenye kumuabudu mungu ingekuwa well n good.
 
Smile ni kweli kwamba PEP husaidia kuzuia maambukizi ya HIV shortly after contact. kuna siku moja nilikuwa nina deal na damu kwenye utafiti wangu. what happened wakati namfanyia pricking client wangu akatikisa kidole ile niddle ili mchoma yeye na mimi kwa wakati mmoja.

mbaya zaid the client alikuwa +HIV, basi nilichokifanya punde i washed the place kwa maji ya bomba yanayotiririka for about 15 mints huku nikiwa nakibinya damu iendelee kutoka. kisha nikatumia PEP nilipo test after 3 days nikawa safe na nikarudia baada ya wiki ya ni siku 7 still nikamshukuru Mungu.

sasa huko kwenye kusex nako pia husaidia manake itawaahi wadudu kabla hawajajiincubate kwenye ini.
 
Last edited by a moderator:
Unatakiwa uwe umefanyiwa shambulio la ubakaji,ama umegusana bahati mbaya na majeruhi kwenye ajali na wewe una michubuko na mambo mengine yanayotekea kwa bahati mbaya ..sio kamaumetoka kungonoraizi
 
Smile ni kweli kwamba PEP husaidia kuzuia maambukizi ya HIV shortly after contact. kuna siku moja nilikuwa nina deal na damu kwenye utafiti wangu. what happened wakati namfanyia pricking client wangu akatikisa kidole ile niddle ili mchoma yeye na mimi kwa wakati mmoja.

mbaya zaid the client alikuwa +HIV, basi nilichokifanya punde i washed the place kwa maji ya bomba yanayotiririka for about 15 mints huku nikiwa nakibinya damu iendelee kutoka. kisha nikatumia PEP nilipo test after 3 days nikawa safe na nikarudia baada ya wiki ya ni siku 7 still nikamshukuru Mungu.

sasa huko kwenye kusex nako pia husaidia manake itawaahi wadudu kabla hawajajiincubate kwenye ini.

Hivi ukitest baada ya siku tatu unapata majibu.
 
Hapana si kweli PEP inatumika kwa mwezi mmoja kufuatana na treatment guideline ya wizara ya afya. Sijawahi ona PEP y HIV ya muda mfupi kama huo....:target:
 
sio kwamba nilimeza kwa siku tatu hapana nilimeza kwa mwez mmoja ila dr alinitaka nipime siku 3 baada na siku 3 nyingine mbele
 
Mh,nna mashaka 2kiliweka waz hlo wa2 watakua wanazini hovyohovyo kwa makusud then wanaikimbilia hyo pep fasta
 
Post Exposure Prophylaxis (PEP) ni moja ya njia za kuzuia maambukizi kwa watu ambao hawana virusi vya UKIMWI wasiwe navyo. Mara nyingi inatumika kwa wahanga wa kubakwa na wafanyakazi wa afya ambao wanaweza kujidunga,kujikwaruza au kumwagikiwa na maji maji yanayotoka kwa mgonjwa alieathirika. Historia ya PEP ilianza na dawa mbili na sasa ni dawa tatu ambazo zinatumiwa kwa siku 28 baada ya tukio. Inapendekezwa kuwa mtu aliyekuwa exposed apimwe na kuanzishiwa hayo madawa ndani ya masaa 72 bada ya tukio.
Kuhusu effectiveness ya huu mpango bado haujaweza kufanyiwa uchunguzi wa kutosha kuweza kuthibitishwa kuwa hauna matatizo. Kwa wale wanaokfanya ngono zembe sina uhakika kwa wanaweza wakajihami kwa PEP.
 
Back
Top Bottom