Tiba ya kuumwa na Nge

Afande Fojuman

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2014
Posts
655
Reaction score
543
Jamani nimeumwa na nge, mwenye uelewa juu ya tiba yake naomba anisaidie
 
Pole mkuu, kumbe hao wadudu bado wapo? Niling'atwa nikiwa mdogo usiku, kesho yake jioni tukaenda ziwani kuoga. Ile nimejirusha majini tu, uchungu ukaibuka mara. Ile akili ya kitoto nikapiga yowe 'nge mwingine kaning'atia majini'! Watu walicheka ile mbaya!
 
Hospitali wana dawa za simu za wadudu na nyoka, wana-neutralize tu. Wahi dispensary watakusaidia.
 
Hospitali wana dawa za simu za wadudu na nyoka, wana-neutralize tu. Wahi dispensary watakusaidia.

Nge amemuuma saa 4 wewe umemjibu saa 10, atakuwa ameshapata dawa labda au maumivu yameisha.
 
dah JF kiboko,umeumwa na ng'e unauliza ushauri JF,ukipata dharula mpigie simu daktari yeyote upesi atakushauri,au nenda hospitali ya karibu
 
nishawahi sikia kuwa unamkamata then unamchoma majivu yake unapaka sehemu aliyokung'ata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…