Afande Fojuman
JF-Expert Member
- Sep 27, 2014
- 655
- 543
Jamani nimeumwa na nge, mwenye uelewa juu ya tiba yake naomba anisaidie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hospitali wana dawa za simu za wadudu na nyoka, wana-neutralize tu. Wahi dispensary watakusaidia.
sumu ya nge inaua?
dawa ni kumchukua na kumchoma Kama hajakimbia na lile jivu lake unapaka mahali alipo kuuma. businessJamani nimeumwa na nge, mwenye uelewa juu ya tiba yake naomba anisaidie