Tiba ya kuumwa na Nge

Tiba ya kuumwa na Nge

Pole mkuu, kumbe hao wadudu bado wapo? Niling'atwa nikiwa mdogo usiku, kesho yake jioni tukaenda ziwani kuoga. Ile nimejirusha majini tu, uchungu ukaibuka mara. Ile akili ya kitoto nikapiga yowe 'nge mwingine kaning'atia majini'! Watu walicheka ile mbaya!
 
Hospitali wana dawa za simu za wadudu na nyoka, wana-neutralize tu. Wahi dispensary watakusaidia.
 
Hospitali wana dawa za simu za wadudu na nyoka, wana-neutralize tu. Wahi dispensary watakusaidia.

Nge amemuuma saa 4 wewe umemjibu saa 10, atakuwa ameshapata dawa labda au maumivu yameisha.
 
dah JF kiboko,umeumwa na ng'e unauliza ushauri JF,ukipata dharula mpigie simu daktari yeyote upesi atakushauri,au nenda hospitali ya karibu
 
Back
Top Bottom