Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,968
- 36,044
Angalizo huu sio ushirikina ila ni njia asili ya kufungua mambo yako yaliyojifunga. Mara kwa mara nakuja humu jukwaani kuwapa njia kadhaa za kuwafungua vifungo mlivyofungwa tena free kabisa.
Twende kazi sasa. .............
Inapofika usiku kabla ya kulala hakikisha unachoma ubani mashtaka na karafuu kisha kunuia mambo yako.
Hii kwanza itakusaidia kukumbuka njozi zako unazoota, kukupa ufunuo namna ya kuendesha maisha yako ili kujiimarisha kiuchumi, kufungua vifungo ulivyofungwa , kuongeza mvuto wako na kujiomarisha kama kinga.
Tumia hii njia na InshaAllah ndani ya siku 7 utaanza kuona mabadiriko kwenye maisha yako.
Jaribu isipofanya kazi njoo hapa.