Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,968
- 36,044
- Thread starter
- #21
Mtoto wa kike inabidi apatiwe anachohitaji maana ni mama zetu hivyo lazima tuwatunze kwa wivu mkubwa maana ni tunu tuliyobarikiwa na Mwenyezi Mungu .Brutal ni kilevi laini laini na kinalainisha sana 😀😀😀 Kwahiyo Ustadh unataka uwe sababu ya Bi Dada kulainika ?