Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,968
- 36,044
Hakuna majini hapo.Mkuu wewe kama sio mtaalamu tafadhali usije kuletea watu matatizo.
Nijuavyo mimi mtu akifanya hivyo ulivyosema anaweza kuvaliwa na majini. Yaani hiyo njia ni ya kuita majini sasa kuwa makini mkuu sio kila unachofundishwa kilingeni lazima uweke hadharani mengine baki nayo wewe kama wewe itakuja kuumiza watu
Hiyo ni hatua ya awali mkuu. Please baki nayo huko hukoHakuna majini hapo.
Njia ya kuita majini nitakuja kufundisha .
Nipo naandaa somo.
Labda jini amzakanuni.Mkuu wewe kama sio mtaalamu tafadhali usije kuletea watu matatizo.
Nijuavyo mimi mtu akifanya hivyo ulivyosema anaweza kuvaliwa na majini. Yaani hiyo njia ni ya kuita majini sasa kuwa makini mkuu sio kila unachofundishwa kilingeni lazima uweke hadharani mengine baki nayo wewe kama wewe itakuja kuumiza watu
Haiuhusiani na majini.Hiyo ni hatua ya awali mkuu. Please baki nayo huko huko
Na joto lote hili ? Atuletee hata Mo Eneji basi, chai na jua hili ni adhabuBasi tuseme chai
Fanya kisha leta mrejesho.Basi tuseme chai
Utaangamiza watu dogo πππFanya kisha leta mrejesho.
Maangamizi yatokee wapi hapo?.Utaangamiza watu dogo πππ
mi akinipa ka brutal ka baridi itakuwa vizuri zaidiNa joto lote hili ? Atuletee hata Mo Eneji basi, chai na jua hili ni adhabu
Ustadhi Hance Mtanashati umeombwa Brutalmi akinipa ka brutal ka baridi itakuwa vizuri zaidi
Weka namba hata ya wakala uliye karibu naye nikuokoteshe.mi akinipa ka brutal ka baridi itakuwa vizuri zaidi
Aweke namba ya wakala nimuokoteshe.Ustadhi Hance Mtanashati umeombwa Brutal
Brutal ni kilevi laini laini na kinalainisha sana πππ Kwahiyo Ustadh unataka uwe sababu ya Bi Dada kulainika ?Aweke namba ya wakala nimuokoteshe.
Majirani watatuita wanga mkuuAngalizo huu sio ushirikina ila ni njia asili ya kufungua mambo yako yaliyojifunga. Mara kwa mara nakuja humu jukwaani kuwapa njia kadhaa za kuwafungua vifungo mlivyofungwa tena free kabisa.
Twende kazi sasa. .............
Inapofika usiku kabla ya kulala hakikisha unachoma ubani mashtaka na karafuu kisha kunuia mambo yako.
Hii kwanza itakusaidia kukumbuka njozi zako unazoota, kukupa ufunuo namna ya kuendesha maisha yako ili kujiimarisha kiuchumi, kufungua vifungo ulivyofungwa , kuongeza mvuto wako na kujiomarisha kama kinga.
Tumia hii njia na InshaAllah ndani ya siku 7 utaanza kuona mabadiriko kwenye maisha yako.
Jaribu isipofanya kazi njoo hapa.
356549154 ukiniokotesha nijulishe nikimbie kwa wakala nikajielezeWeka namba hata ya wakala uliye karibu naye nikuokoteshe.