Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,968
- 36,044
- Thread starter
-
- #21
Mtoto wa kike inabidi apatiwe anachohitaji maana ni mama zetu hivyo lazima tuwatunze kwa wivu mkubwa maana ni tunu tuliyobarikiwa na Mwenyezi Mungu .Brutal ni kilevi laini laini na kinalainisha sana πππ Kwahiyo Ustadh unataka uwe sababu ya Bi Dada kulainika ?
Usiishi kwa kutazama watu watakuangaliaje.Majirani watatuita wanga mkuu
Jina nani?356549154 ukiniokotesha nijulishe nikimbie kwa wakala nikajieleze
Una mawazo finyu sana.Dah wewe jamaa umebadilika kwa kasi sana
Umerithi mkoba au ndio upo masomoni
Elizabeth Richard MsangiJina nani?
TayariElizabeth Richard Msangi
Hahaha,Njia ya kuita majini nitakuja kufundisha .
Nipo naandaa somo.
KaribuHahaha,
Shehe kama shehe
weweeee hance asante ni ngapi nijieleze kwa wakalaTayari
Elfu 30weweeee hance asante ni ngapi nijieleze kwa wakala
wakala anasema hajaonaElfu 30