Tiba ya meno

Tiba ya meno

bereng

Senior Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
114
Reaction score
21
Wana JF,

Kwa wale wenye matatizo ya meno, kuna dawa ya meno inayotibu kabisa na kuimalisha meno yako bila kung`oa. Ni dawa iliyotengenezwa kwa mmea wa shubiri na kuchanganywa na asali. Inasaidia hata kwa wale wenye matatizo ya kutoa harufu mbaya mdomoni isiyoisha.

Ni nzuri pia kwa vidonda vya tumbo ukilamba na kunywa maji vinapoa ndani ya nusu saa. Kwa wale watakaohitaji maelezo zaidi au kupata ushauri pamoja na dawa mni PM.

Kwa wale wakazi wa Mwanza mnaweza kufika ofisini au ninaweza kukuletea moja kwa moja.

Dawa inauzwa kwa Tsh 12,000/- Ukinipa namba ya simu ntakupigia kwa ajili ya kufanya oda au maelekezo zaidi.

Asante.

Kama una matatizo ya meno kutoboka,kuoza na kuuma basi tumia mizizi/majani ya mirungi na matatizo yako yataisha.

kama meno yameoza,yametoboka,au yanauma basi chemsha mizizi ya mirungi acha maji yapoe na kisha sukutua mdomo kwa maji ya mirungi asubuhi na jioni kwa siku zisizopungua tatu.

kwa upande wa majani ya mirungi haya yanasaidia kukinga meno yasitoboke na kuyafanya yawe imara zaidi na kuondoa harufu mbaya mdomoni,tafuna majani ya mirungi mara kwa mara,lakini chukua
tahadhari kwa kua majani ya mirungi yanalevya,hivyo utakapo tafuna usimeze mate kama hauna nia ya kupata stimu au kua "handas".

ONYO: ni kosa kwa sheria ya nchi yetu kutumia au kukutwa na mirungi.

Chinga 1.
 
duuh inawezekana hata bangi ni dawa kwa style hii
 
Duh asante ila kama ni kosa kisheria sijui nikihitaji kwa ajili ya meno yangu yanayouma nitafanyaje, duh mlolongo ni mrefu kwani kwanza inabidi ifanyiwe utafiti na NIMR (national institute of medical research) kisha ipate kibali kutoka TFDA Tanzania food and drugs authority halafu mwishowe ithibitishwe na wizara ya afya ...NIMR idara ya dawa asili wako kule mabibo
 
duuh inawezekana hata bangi ni dawa kwa style hii
  • Upo sahihi kabisa, hujakosea. Bangi pia ni dawa. 8-30-2013 3-37-07 PM.png
  • Kama utahitaji hiki kitabu "Marijuana As Medicine?, The Science Beyond the Controversy (2000)" basi nijulishe niki_Upload hapa jukwaani.
jani.png

Wadau nisaidieni,

Meno yangu (magego mawili ya chini na juu) yanapata maumivu makali sana, lakini daktari aliyenifanyia check up amesema hayajafikia hatua ya kung'oa.

Kanishuri nitumie "Denatamol tablets" lakini hazijanisaidia.

NAOMBA USHAURI.
 
marafiki, naombeni ushauri wa tiba ya meno ili kupunguza maumivu. nimemuona daktari mmoja akasema hayajafikia hatua ya kung'olewa (yapo mawili) ila alishauri nitumie dentamol tablets kutuliza maumivu, na nimetumia lkn maumivu yako pale pale
 
Kama hapo ulipo kuna miti ya mikambala, tulatula, ng'watya na nsubhata basi hii chemistry ni tiba jadidi ya meno!
Mimi tangu nizaliwe sijawahi kuumwa jino. Meno yangu tapo imara kama plaizi!
Nitafte nikuelekeze namna ya kutumia.
 
Hawa kweli sasa wanakuwa manyang'au, walioweka mbele maslahi yao badala ya nchi, wanaojilimbizia mali kwa kasi kubwa mno kwa kutumia njia za haramu bila woga wowote, kwa kifupi wamewatekeleza Watanzania.

Yametoboka au yanauma tu?
 
wadau nisaidieni, meno yangu (magego mawili ya chini na juu) yanapata maumivu makali sana, lakini daktari alienifanyia check up amesema hayajafikia hatua ya kung'oa. kanishuri nitumie "Denatamol tablets" lakini hazijanisaidia. NAOMBA USHAURI
Amka asubuhi kabla ya kula kitu au kunywa kitu kinga mkojo wako kisha sukutuwa mdomoni kwa dakika 5 kisha tema huo mkojo wako. Fanya hivyo kwa muda wa siku 3 utapona na hutoweza tena kuyang'owa hayo meno yako tena. Jaribu kisha uje unipe Feedback.
 
Back
Top Bottom