Heri ya mwaka mpya. Takribani mwaka mmoja na nusu ndani ya ndoa lkn bado mdogo wangu hajabahatika kupata mtoto. Alienda Kairuki hospital akafanya vipimo akaambiwa mirija yake imeziba na mayai pia hayapevuki.
Mie nadhani hakuna haja ya kuwa na hofu ya kutafta dawa mbadala huku na huku, Ni vyema kutulia na kuwasikiliza wataalam wanasemaje, Kwanza isitoshe yupo under-appointment, So tulieni tu watamsaidia pale panapowezekana.