mamma herbs
Member
- Oct 21, 2024
- 25
- 20
- Thread starter
- #21
Sambamba 🫡Sawa..nimekupenda bure ila usimwambie mtu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sambamba 🫡Sawa..nimekupenda bure ila usimwambie mtu
Na hilo ni tatizo kubwa sana Kwa wanawake Kwa sasa, hata wakati mwingine mwanaume anabeba lawama zisizo zakwake wakati wa Tendo la ndoaNdio maana tunasugua hawafiki kumbe hawana nguvu za kike!!?
Pia michango ya kwenye vikoba inawapunguzia nguvu za kike!
Kabisa, wakati mwingine mwanaume anapaswa ajiamini kuwa yuko timamu kimwili, swala la kupambana na madawa ni kujiharibu ingali tatizo ni la mwanamkeJamaa anamsugua demu mpaka jasho la meno ila demu amekauka tuu kama kuni motoni kumbe hana nguvu za kike.
😂😂😂 Visababishi vipo humu humu kwenye jamii Wala si kingineDadeki walianza nguvu za kiume sasa ni nguvu za kike. Kinachofuata ni kujengaa kifikra kuwa wte hatuna nguvu sio me wala ke
Unafikiri kinachofuata ni nini? Kuna ajenda ya siri saana ndani ya hizi kampeni
Ebu tupe mechanism kwanza,
1. Nguvu za kike ni nini??
2. Dalili za nguvu za kike??
3. Chanzo??
. Pamoja na ku Google hizi points, lakini sijaona mwanamke ana tatizo la upungufu wa nguvu za kike.....Upungufu wa nguvu za kike unaojulikana pia kama "low libido" au "hypoactive sexual desire disorder" kwa Kiingereza, ni hali ambayo mwanamke anakosa hamu ya kufanya mapenzi au ana hisia ndogo za kimapenzi kuliko kawaida. Hii inaweza kutokea kwa muda au kuwa hali ya kudumu, na mara nyingi husababishwa na mchanganyiko wa sababu za kimwili, kisaikolojia, na kimazingira.
Sababu za Upungufu wa Nguvu za Kike:
1. Mabadiliko ya Homoni: Kupungua kwa homoni kama vile estrojeni na testosterone kunaweza kuathiri hamu ya kufanya mapenzi, hasa wakati wa ujauzito, kunyonyesha, au kukaribia au kuwa kwenye ukomo wa hedhi (menopause).
2. Msongo wa Mawazo na Wasiwasi: Hali ya kisaikolojia kama msongo wa mawazo, wasiwasi, na huzuni inaweza kupunguza nguvu na hamu ya kimapenzi.
3. Matatizo ya Kibinafsi: Mahusiano yenye migogoro au kutoelewana kati ya wenzi yanaweza kuathiri hali ya mtu na kupunguza hamu ya kimapenzi.
4. Magonjwa na Dawa: Magonjwa kama kisukari, saratani, na magonjwa ya moyo, au matumizi ya baadhi ya dawa, hasa za kutibu msongo wa mawazo na shinikizo la damu, yanaweza kuathiri hamu ya kimapenzi.
5. Matatizo ya Kimwili: Uchovu mwingi, maumivu wakati wa tendo, au matatizo katika mfumo wa uzazi yanaweza pia kupunguza hamu ya kufanya mapenzi.
Mbinu za Kuboresha Nguvu za Kike:
Mazoezi ya Mara kwa Mara: Mazoezi husaidia kuongeza nguvu mwilini na kupunguza msongo wa mawazo.
Kula Lishe Bora: Lishe yenye afya inaweza kusaidia kuongeza nguvu na kukuza afya kwa ujumla.
Kuzungumza na Mtaalamu: Ushauri kutoka kwa daktari au mtaalamu wa saikolojia unaweza kusaidia kugundua na kutatua sababu zinazosababisha hali hii.
Kutumia Viongeza vya Homoni: Kwa wanawake wanaokaribia ukomo wa hedhi, matibabu ya kuongezea homoni yanaweza kusaidia kuongeza nguvu za kike, lakini lazima yafanywe chini ya usimamizi wa daktari.
. Pamoja na ku Google hizi points, lakini sijaona mwanamke ana tatizo la upungufu wa nguvu za kike.....
. Sababu ulizotaja hapo juu ni mabadiliko ya kibinadam tu kwa Upande wa mwanamke.. ✍️ ✍️ ✍️
Nguvu za kike ni kurejesha hormone ya estrogen
PerfectNguvu za kike ni kurejesha hormone ya estrogen
😂😂😂Nguvu za kike zinamalizwa na madeni tu.....