David Harvey
JF-Expert Member
- Jul 17, 2014
- 2,894
- 6,020
Habari za asubuhi wakubwa?
Wiki iliyopita nilileta dawa ya mtu aliyeathirika na punyeto ambayo nilifundishwa na marehemu babu vile vile aliniambia tena mjukuu wangu kama imetokea kwa bahati mbaya umepata matatizo ya upungufu wa nguvu za kiume tumia dawa hii na hii.
Nimeona si vema kuwa mchoyo kuwaambia wenzangu ambao ni wahanga wa upungufu wa nguvu za kiume. Dawa ya mtu ambaye ni muhanga wa nguvu za kiume ni:
UNACHUKUA PUMBU ZA BEBERU {MBUZI DUME} UNACHUKUA NA MIZIZI AU MAJANI YA MTI WA MTETE,
Unachotakiwa unachemsha vyote kwa pamoja yaani PUMBU ZA BEBERU NA MIZIZI YA MTETE halafu unakunywa ukishamaliza kunywa unakaa kama dak 15 mpka 20 unachukua majani yake unatafuna.
Hilo zoezi unafanya ndani ya mwezi mmoja na nusu,lakini utakuwa unatumia hiyo tiba kwa wiki mara 1 au mara 2, unachotakiwa kufanya wiki la kwanza unatakiwa ule vyote kwa pamoja yaani pumbu pamoja na mizizi na majani.
Wiki la pili unatakiwa ule pumbu tu wiki la tatu unatakiwa ule mizizi na wiki zinazofata unatakiwa ule mchanganyiko wote kwa pamoja.
NB.Wakati unaenda kuchuma majani ya mtete na mizizi unatakiwa upige hodi mara then unachimba mizizi au majani.asante wakuu