Tiba ya upungufu wa nguvu za kiume

Tiba ya upungufu wa nguvu za kiume

David Harvey

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2014
Posts
2,894
Reaction score
6,020
Habari za asubuhi wakubwa?

Wiki iliyopita nilileta dawa ya mtu aliyeathirika na punyeto ambayo nilifundishwa na marehemu babu vile vile aliniambia tena mjukuu wangu kama imetokea kwa bahati mbaya umepata matatizo ya upungufu wa nguvu za kiume tumia dawa hii na hii.

Nimeona si vema kuwa mchoyo kuwaambia wenzangu ambao ni wahanga wa upungufu wa nguvu za kiume. Dawa ya mtu ambaye ni muhanga wa nguvu za kiume ni:

UNACHUKUA PUMBU ZA BEBERU {MBUZI DUME} UNACHUKUA NA MIZIZI AU MAJANI YA MTI WA MTETE,

Unachotakiwa unachemsha vyote kwa pamoja yaani PUMBU ZA BEBERU NA MIZIZI YA MTETE halafu unakunywa ukishamaliza kunywa unakaa kama dak 15 mpka 20 unachukua majani yake unatafuna.

Hilo zoezi unafanya ndani ya mwezi mmoja na nusu,lakini utakuwa unatumia hiyo tiba kwa wiki mara 1 au mara 2, unachotakiwa kufanya wiki la kwanza unatakiwa ule vyote kwa pamoja yaani pumbu pamoja na mizizi na majani.

Wiki la pili unatakiwa ule pumbu tu wiki la tatu unatakiwa ule mizizi na wiki zinazofata unatakiwa ule mchanganyiko wote kwa pamoja.

NB.Wakati unaenda kuchuma majani ya mtete na mizizi unatakiwa upige hodi mara then unachimba mizizi au majani.asante wakuu
 
...wadanganye wenzio tu...midume ya mbuzi ikipungua ujue mijike itabaki mingi..mwishowe mtaanza kusema ...wale vifaa vya mbuzi jike mfano...kwato
 
Bahati mbaya sana hapa JF hakuna jukwaa la mambo ya ulozi...

Hii imekaa kichawi chawi hizi maana hata nikikuuliza hauna utetezi wa kisayansi wa tiba yako...

UNACHUKUA PUMBU ZA BEBERU UNACHUKUA NA MIZIZI AU MAJANI YA MTI WA MTETE.unachotakiwa unachemsha vyote kwa pamoja yaani PUMBU ZA BEBERU NA MIZIZI YA MTETE halafu unakunywa.ukishamaliza kunywa unakaa kama dak 15 mpka 20 unachukua majani yake unatafuna.hilo zoezi unafanya ndani ya mwezi mmoja na nusu,lakini utakuwa unatumia hiyo tiba kwa wiki mara 1 au mara 2.unachotakiwa kufanya wiki la kwanza unatakiwa ule vyote kwa pamoja yaani pumbu pamoja na mizizi na majani.wiki la pili unatakiwa ule pumbu tu.wiki la tatu unatakiwa ule mizizi na wiki zinazofata unatakiwa ule mchanganyiko wote kwa pamoja.
NB.Wakati unaenda kuchuma majani ya mtete na mizizi unatakiwa upige hodi mara then unachimba mizizi au majani.asante wakuu
 
Hizo mbona ingredients za kawaida kutengenezea viagra
 
Bahati mbaya sana hapa JF hakuna jukwaa la mambo ya ulozi...

Hii imekaa kichawi chawi hizi maana hata nikikuuliza hauna utetezi wa kisayansi wa tiba yako...


kweli kabisa mkuu uhusiano wa mtu kupiga goti na ufanyaji kazi wa dawa wapi na wapi?
 
Nilipoanza kusoma hii post nikadhani unazungumza jambo la maana, kumbe uoumbavu mtupu
 
Mkuu jani la mtete ni monocotledon yaani ni asili ya nyasi.
Hili suala la kutafuna nyasi kisha umeze naingiwa hofu kidogo. Haiwezekani kusaga kwanza hiyo mizizi na jani ikawa in form of powder ili iwe rahisi kuwa digested?
Anyway ni tiba, kila kitu kina miiko yake so vigezo na masharti lazima vizingatiwe!
NB: Kwa mliopo DSM korodani zinapatikana Vingunguti na hayo matete pengine mvizie msasani au sehemu yoyote yenye asili ya vijito vya maji.
 
Back
Top Bottom