#COVID19 Tiba ya wagonjwa wa Corona Tanzania iko juu mno, Watanzania hawawezi kuimudu

Chanjo ikiletwa tutaweza gharamia au ndio wataweza akina mbowe pekee yao huku akiwaacha akina Erythrocyte wakiteketea na ukapuku wao?
Kinga ni bora kuliko tiba, sisi waswahili tuchukue tahadhari mapema

kinga ni bora kuliko tiba

Chanjo ya Corona ni bure. Wewe unataka kulipia pesa?
 
Nakwambia hivi viongozi wengi wa kiafrika wanafaidika sana na hii COVID19, tena kuna wengine wanaomba labda isiishe kwani ni sehemu ya kupiga pesa kutoka kwa mabeberu, na kuzifanyia mambo mengine tu, ila wananchi ndio wanaumia!!ukiangalia , vipimo unalipia, gesi unalipia, mask mnanunua, sanitizer, hivyo hivyo, hayo mabilioni yanatumika wapi?mfano uganda nako mtu akilazwa siku moja tu karibia dola 1000!!!hospitali binafsi, anaulizwa waziri anasema" jamani tusiumizane hivyo sisi wote ni Waganda"wao wanachowaza ni kushindana kwa kutoa takwimu tu za vifo na maambukizi ili mpunga uzidi kuingia tu!!mfano mzuri hapa kwetu yale mabilioni ya IMF, kipindi kile ndio imeanza, huku taasisi kibao binafsi zikawa zinachangia kila leo mabilioni, na vifaa tiba, lakini kwenda kupima corona ulikuwa unachajiwa pesa!!!

Ushauri huu unaiona je?

IMG_20210706_203616_157.jpg

Kwa kuanzia ili kujiridhisha kuwa huu ni ugonjwa tu kama ugonjwa mwingine?
 
Ushauri huu unaiona je?

View attachment 1849569

Kwa kuanzia ili kujiridhisha kuwa huu ni ugonjwa tu kama ugonjwa mwingine?
Hahaaa!!kwa nchi zetu ni ngumu kama MEKO, mwenyewe licha ya kusisitiza Tz hakuna CORONA, lakini alilamba mabilioni ya IMF!!hadi ikaleta shida kwenye bodi yao, zikatakiwa zirudishwe nani azirudishe?!!M7, anawaambia waganda kwa hiyo lock down ya siku 42, kila familia itatumiwa kwenye simu UGSH.100, 000(TSH.50, 000) wazitumie kwa siku hizo hilo ni chaka jingine la kujifichia, kwenye matumizi ya hizo pesa!!sawa kuzipokea sio tatizo ila matumizi yake, utaambiwa ndio hizo zimetumika kutengeneza kiwanda cha BARAKOA.
 
Una maana kuwa beberu na hela zake wala si tatizo kuhusiana na ugonjwa huu?

Pia kuwa shida si kuwa ugonjwa unapaswa kudhibitiwa kisayansi bali tatizo ni wizi wa viongozi wetu?
 
Hizi nchi za kiafrika na viongozi wake bado sana..watu wamegeuza covid kuwa fursa
Nakwambia hivi viongozi wengi wa kiafrika wanafaidika sana na hii COVID19, tena kuna wengine wanaomba labda isiishe kwani ni sehemu ya kupiga pesa kutoka kwa mabeberu, na kuzifanyia mambo mengine tu, ila wananchi ndio wanaumia!!ukiangalia , vipimo unalipia, gesi unalipia, mask mnanunua, sanitizer, hivyo hivyo, hayo mabilioni yanatumika wapi?mfano uganda nako mtu akilazwa siku moja tu karibia dola 1000!!!hospitali binafsi, anaulizwa waziri anasema" jamani tusiumizane hivyo sisi wote ni Waganda"wao wanachowaza ni kushindana kwa kutoa takwimu tu za vifo na maambukizi ili mpunga uzidi kuingia tu!!mfano mzuri hapa kwetu yale mabilioni ya IMF, kipindi kile ndio imeanza, huku taasisi kibao binafsi zikawa zinachangia kila leo mabilioni, na vifaa tiba, lakini kwenda kupima corona ulikuwa unachajiwa pesa!!!
 
Wakuu,

Nimekaa natafakari juu ya affordability ya matibabu ya gonjwa la corona hapa nchini na nimebaini kwamba haina urafiki na watanzania wenye vipato vya kati na chini

Hakika mwananchi wa kawaida hawezi kumudu gharama za kuwekewa mtungi wa oxgyen labda ziwe zinatolewa bure

Nasema hivi kwa sababu nimejaribu kufikiri zaidi pale ambapo kuna mzee wa miaka kama 60 alipatwa na ugonjwa huu wiki sasa na amepona now amejikarantini nyumbani kwake

Kilichomponya ni pesa alizokuwa nazo naweza kusema hivyo, kwani bill ya hospitali kwa muda wa siku 6 iliyotumika ni zaidi y 3.5

Najiuliza zaidi hivi ikatokea wewe mwenzangu na mimi pangu pakavu tia mchuzi ukakumbwa na sekeseke la covid 19 utaweza mudu gharama za huduma hii ili kunusuru maisha yako?

Ifike mahali sasa Serikali ibebe gharama zote zinazohusu wagonjwa wa Corona hapa nchini
Mkome kubeba agenda zisizowahusu.
Hakuna Corona Tanzania wala duniani.
Ugonjwa huu upo kwenye Tv tu..
Upumbavu wa watu ni kuwa animated na TV, yaani watu wanaamini sana kila kinacholetwa na TV.
TV zinasema kuna Corona na inazuiliwa kwa kuvaa barakoa, kuji sanitize na social distancing na majitu yanaiga tu
Uvaaji wa barakoa ndio chanzo kikuu cha ugonjwa wenyewe.
Kama authority katika nchi ambazo watu wanaonekana kufa sana, wasingelazimisha uvaaji wa barakoa kuwa compusory, pasingesikika hata kifo kimoja kwa ugonjwa wa mapafu.
Wengi wanaoonekana kuumwa Corona ni wavaaji wa muda mrefu wa barakoa.
Na watu wakianza kuumwa kwa kuvaa barakoa na kufa, watu wanaanza kuogopa zaidi na kuongeza vitambaa au barakoa zenye layer nyingi na hivyo kusababisha chain reaction ya ugonjwa uliosababishwa na uvaaji wa mask
 
Mama angu aliugua mwaka huu January. Aliwekewa oxygen mwezi mzima. Kwa saa oxygen ni 10,000.
Bado kuna dawa za kuchoma tulinunua vichupa 6@500,000= 3,000,000

Kweli ugonjwa huu kwa maskin n MUNGU tu kupona.
 
Wakuu,

Nimekaa natafakari juu ya affordability ya matibabu ya gonjwa la corona hapa nchini na nimebaini kwamba haina urafiki na watanzania wenye vipato vya kati na chini

Hakika mwananchi wa kawaida hawezi kumudu gharama za kuwekewa mtungi wa oxgyen labda ziwe zinatolewa bure

Nasema hivi kwa sababu nimejaribu kufikiri zaidi pale ambapo kuna mzee wa miaka kama 60 alipatwa na ugonjwa huu wiki sasa na amepona now amejikarantini nyumbani kwake

Kilichomponya ni pesa alizokuwa nazo naweza kusema hivyo, kwani bill ya hospitali kwa muda wa siku 6 iliyotumika ni zaidi y 3.5

Najiuliza zaidi hivi ikatokea wewe mwenzangu na mimi pangu pakavu tia mchuzi ukakumbwa na sekeseke la covid 19 utaweza mudu gharama za huduma hii ili kunusuru maisha yako?

Ifike mahali sasa Serikali ibebe gharama zote zinazohusu wagonjwa wa Corona hapa nchini
Nadhani wacha iwapate Hawa wanaobisha kwamba Corona haipo then walianza kulia labda na wenzao wa maporini wataanza kuchukua tahadhari.

Tumechoka kujibizana na wajinga. Hela hawana, shule hakuna, ubishi kibao.
 
mkuu usiwalaumu saana
yote haya alisababisha mwendazake, watu wanaichukulia corona poa sana ila kiuhalisia ni hatari mno
Nadhani wacha iwapate Hawa wanaobisha kwamba Corona haipo then walianza kulia labda na wenzao wa maporini wataanza kuchukua tahadhari.

Tumechoka kujibizana na wajinga. Hela hawana, shule hakuna, ubishi kibao.
 
Kwa nchi za wenzetu na majirani zetu pia hii inatolewa bure bila shaka
Hao wameanza zamani mkuu, hizo changamoto walishazipitia, wakazijadili na kuzishughuliakia. Sisi tulikuwa tunamsikiliza Kinjeketile na vibaraka wake. Kwa kuwa ndiyo tumeanza sasa basi baada ya muda mambo yatakaa sawa.
 
Nadhani wacha iwapate Hawa wanaobisha kwamba Corona haipo then walianza kulia labda na wenzao wa maporini wataanza kuchukua tahadhari.

Tumechoka kujibizana na wajinga. Hela hawana, shule hakuna, ubishi kibao.
Wewe ndo jinga namba moja mvaaji wa barakoa
 
Siwezi kubishana nawe upo vijijini huko huwezi kujua mambo ya korona. We endelea kupambana na mbung'o na papasi pamoja na nyoka wa kiangazi.
Sawa huku nakula mboga na matunda ya asili navuta hewa safi nakunywa maji safi, hakuna makelele. Covid19 naiona kwenye tv tu.
Ila jinga kama wewe unayekaa mjini, unakunywa maji yenye Fluoride na Chlorine, hewa unayovuta ina toxic kibao, unakula mboga tunayolima na kuyapiga herbicide, pesticide na enzymes tunamimina kwenye hizo mboga ukila matako na matiti vinaongezeka, usingizi wa bush ni mtamu hauna makelele ya magari nk
 
Basi usibishane nami we endelea kula unachokula that's what maishanyako yamefikia hapo kwenye uwezo wa kufikiri.
 
Back
Top Bottom