Chanjo ikiletwa tutaweza gharamia au ndio wataweza akina mbowe pekee yao huku akiwaacha akina Erythrocyte wakiteketea na ukapuku wao?
Kinga ni bora kuliko tiba, sisi waswahili tuchukue tahadhari mapema
kinga ni bora kuliko tiba
Masikini wengi wanaamini umasikini wamepewa na MunguGanga njaa tu....
Nakwambia hivi viongozi wengi wa kiafrika wanafaidika sana na hii COVID19, tena kuna wengine wanaomba labda isiishe kwani ni sehemu ya kupiga pesa kutoka kwa mabeberu, na kuzifanyia mambo mengine tu, ila wananchi ndio wanaumia!!ukiangalia , vipimo unalipia, gesi unalipia, mask mnanunua, sanitizer, hivyo hivyo, hayo mabilioni yanatumika wapi?mfano uganda nako mtu akilazwa siku moja tu karibia dola 1000!!!hospitali binafsi, anaulizwa waziri anasema" jamani tusiumizane hivyo sisi wote ni Waganda"wao wanachowaza ni kushindana kwa kutoa takwimu tu za vifo na maambukizi ili mpunga uzidi kuingia tu!!mfano mzuri hapa kwetu yale mabilioni ya IMF, kipindi kile ndio imeanza, huku taasisi kibao binafsi zikawa zinachangia kila leo mabilioni, na vifaa tiba, lakini kwenda kupima corona ulikuwa unachajiwa pesa!!!
Hahaaa!!kwa nchi zetu ni ngumu kama MEKO, mwenyewe licha ya kusisitiza Tz hakuna CORONA, lakini alilamba mabilioni ya IMF!!hadi ikaleta shida kwenye bodi yao, zikatakiwa zirudishwe nani azirudishe?!!M7, anawaambia waganda kwa hiyo lock down ya siku 42, kila familia itatumiwa kwenye simu UGSH.100, 000(TSH.50, 000) wazitumie kwa siku hizo hilo ni chaka jingine la kujifichia, kwenye matumizi ya hizo pesa!!sawa kuzipokea sio tatizo ila matumizi yake, utaambiwa ndio hizo zimetumika kutengeneza kiwanda cha BARAKOA.Ushauri huu unaiona je?
View attachment 1849569
Kwa kuanzia ili kujiridhisha kuwa huu ni ugonjwa tu kama ugonjwa mwingine?
Hahaaa!!kwa nchi zetu ni ngumu kama MEKO, mwenyewe licha ya kusisitiza Tz hakuna CORONA, lakini alilamba mabilioni ya IMF!!hadi ikaleta shida kwenye bodi yao, zikatakiwa zirudishwe nani azirudishe?!!M7, anawaambia waganda kwa hiyo lock down ya siku 42, kila familia itatumiwa kwenye simu UGSH.100, 000(TSH.50, 000) wazitumie kwa siku hizo hilo ni chaka jingine la kujifichia, kwenye matumizi ya hizo pesa!!sawa kuzipokea sio tatizo ila matumizi yake, utaambiwa ndio hizo zimetumika kutengeneza kiwanda cha BARAKOA.
Nakwambia hivi viongozi wengi wa kiafrika wanafaidika sana na hii COVID19, tena kuna wengine wanaomba labda isiishe kwani ni sehemu ya kupiga pesa kutoka kwa mabeberu, na kuzifanyia mambo mengine tu, ila wananchi ndio wanaumia!!ukiangalia , vipimo unalipia, gesi unalipia, mask mnanunua, sanitizer, hivyo hivyo, hayo mabilioni yanatumika wapi?mfano uganda nako mtu akilazwa siku moja tu karibia dola 1000!!!hospitali binafsi, anaulizwa waziri anasema" jamani tusiumizane hivyo sisi wote ni Waganda"wao wanachowaza ni kushindana kwa kutoa takwimu tu za vifo na maambukizi ili mpunga uzidi kuingia tu!!mfano mzuri hapa kwetu yale mabilioni ya IMF, kipindi kile ndio imeanza, huku taasisi kibao binafsi zikawa zinachangia kila leo mabilioni, na vifaa tiba, lakini kwenda kupima corona ulikuwa unachajiwa pesa!!!
Inasikitisha sana...
Mkome kubeba agenda zisizowahusu.Wakuu,
Nimekaa natafakari juu ya affordability ya matibabu ya gonjwa la corona hapa nchini na nimebaini kwamba haina urafiki na watanzania wenye vipato vya kati na chini
Hakika mwananchi wa kawaida hawezi kumudu gharama za kuwekewa mtungi wa oxgyen labda ziwe zinatolewa bure
Nasema hivi kwa sababu nimejaribu kufikiri zaidi pale ambapo kuna mzee wa miaka kama 60 alipatwa na ugonjwa huu wiki sasa na amepona now amejikarantini nyumbani kwake
Kilichomponya ni pesa alizokuwa nazo naweza kusema hivyo, kwani bill ya hospitali kwa muda wa siku 6 iliyotumika ni zaidi y 3.5
Najiuliza zaidi hivi ikatokea wewe mwenzangu na mimi pangu pakavu tia mchuzi ukakumbwa na sekeseke la covid 19 utaweza mudu gharama za huduma hii ili kunusuru maisha yako?
Ifike mahali sasa Serikali ibebe gharama zote zinazohusu wagonjwa wa Corona hapa nchini
Hakuna bima kwenye ugonjwa huu
Nadhani wacha iwapate Hawa wanaobisha kwamba Corona haipo then walianza kulia labda na wenzao wa maporini wataanza kuchukua tahadhari.Wakuu,
Nimekaa natafakari juu ya affordability ya matibabu ya gonjwa la corona hapa nchini na nimebaini kwamba haina urafiki na watanzania wenye vipato vya kati na chini
Hakika mwananchi wa kawaida hawezi kumudu gharama za kuwekewa mtungi wa oxgyen labda ziwe zinatolewa bure
Nasema hivi kwa sababu nimejaribu kufikiri zaidi pale ambapo kuna mzee wa miaka kama 60 alipatwa na ugonjwa huu wiki sasa na amepona now amejikarantini nyumbani kwake
Kilichomponya ni pesa alizokuwa nazo naweza kusema hivyo, kwani bill ya hospitali kwa muda wa siku 6 iliyotumika ni zaidi y 3.5
Najiuliza zaidi hivi ikatokea wewe mwenzangu na mimi pangu pakavu tia mchuzi ukakumbwa na sekeseke la covid 19 utaweza mudu gharama za huduma hii ili kunusuru maisha yako?
Ifike mahali sasa Serikali ibebe gharama zote zinazohusu wagonjwa wa Corona hapa nchini
Nadhani wacha iwapate Hawa wanaobisha kwamba Corona haipo then walianza kulia labda na wenzao wa maporini wataanza kuchukua tahadhari.
Tumechoka kujibizana na wajinga. Hela hawana, shule hakuna, ubishi kibao.
Hao wameanza zamani mkuu, hizo changamoto walishazipitia, wakazijadili na kuzishughuliakia. Sisi tulikuwa tunamsikiliza Kinjeketile na vibaraka wake. Kwa kuwa ndiyo tumeanza sasa basi baada ya muda mambo yatakaa sawa.Kwa nchi za wenzetu na majirani zetu pia hii inatolewa bure bila shaka
Wewe ndo jinga namba moja mvaaji wa barakoaNadhani wacha iwapate Hawa wanaobisha kwamba Corona haipo then walianza kulia labda na wenzao wa maporini wataanza kuchukua tahadhari.
Tumechoka kujibizana na wajinga. Hela hawana, shule hakuna, ubishi kibao.
Siwezi kubishana nawe upo vijijini huko huwezi kujua mambo ya korona. We endelea kupambana na mbung'o na papasi pamoja na nyoka wa kiangazi.Wewe ndo jinga namba moja mvaaji wa barakoa
Sawa huku nakula mboga na matunda ya asili navuta hewa safi nakunywa maji safi, hakuna makelele. Covid19 naiona kwenye tv tu.Siwezi kubishana nawe upo vijijini huko huwezi kujua mambo ya korona. We endelea kupambana na mbung'o na papasi pamoja na nyoka wa kiangazi.
Basi usibishane nami we endelea kula unachokula that's what maishanyako yamefikia hapo kwenye uwezo wa kufikiri.Sawa huku nakula mboga na matunda ya asili navuta hewa safi nakunywa maji safi, hakuna makelele. Covid19 naiona kwenye tv tu.
Ila jinga kama wewe unayekaa mjini, unakunywa maji yenye Fluoride na Chlorine, hewa unayovuta ina toxic kibao, unakula mboga tunayolima na kuyapiga herbicide, pesticide na enzymes tunamimina kwenye hizo mboga ukila matako na matiti vinaongezeka, usingizi wa bush ni mtamu hauna makelele ya magari nk