Tiba za asili: Manufaa ya asali na mdalasini

kwa kweli ni mtihani mkubwa hawa wanawake wa sasa
ni mtihani kwa kweli, suala la kunyandua limekuwa na changamoto kubwa. Unajiandaa vya kutosha kumridhisha mpenzi/mwenza kwa kujishilisha madawa ya kila aina ya kienyeji, ya hospitalini na ya kichina unapata nguvu nyingi zisizojulikana ukomo wake lakini ukikutana na mpenzi/mwenza hataki mwendo mrefu, goli moja tu anakuambia tayari usiendelee unamchubua na anachomoka haraka akikuacha na nguvu nyingi za kuendelea na raundi zingine. Ukipiga moja nako unaishia kuaibika, unaambiwa huna nguvu unachekwa na kuambiwa ni mchovu wa kupiga goli nyingi. Dharau ni nyingi
 
Asante sana kwa elimu hii
 
Hao wataalam huwa wanasema inafanyaje kazi hiyo michanganyo?
Ndugu zangu nawashauri twendeni hospital tukatibiwe ikiwa tunaumwa hawa tiba asili wanasababisha sana magonjwa yawe makubwa na madhara yawe makubwa
 
Hao wataalam huwa wanasema inafanyaje kazi hiyo michanganyo?
Ndugu zangu nawashauri twendeni hospital tukatibiwe ikiwa tunaumwa hawa tiba asili wanasababisha sana magonjwa yawe makubwa na madhara yawe makubwa

Hapa ninaongea kama mmojawapo wa matabibu kutoka kampuni kubwa sana ya tiba #1 Duniani !

Kuna aina mbili za hatua za ugonjwa / Classification of Diseases:

1. Functional level disease
2. Organic level disease.

Functional level disease is Connected with Mind/ Spirit disorder or body energy disorder

Hatua hii ya ugonjwa ni hatua ya awali ya ugonjwa , na ni rahisi kutibika
Ambapo mtu huhisi anaumwa lakini vipimo vya hospital vinamthibitisha mtu huyo kuwa hana tatizo lolote
Watu wengi sana hupambana na hatua hii ya ugonjwa
Hatua hii isiposhughulikiwa vizuri , kuna uwezekano mkubwa ugonjwa kwenda hatua ya pili .

Katika nature hatuangalii vipimo vinasemaje bali tunaangalia mwili unasemaje ( Symptoms) maana mwili ndio unaoumwa wala sio kipimo !

2. Organic level disease:

It is connected with the damage of human organs,
Watu wanapoumwa kwenye hatua hii , vipimo vitaonesha
Lakini kwa kuwa hatua hii iko kwenye Late stage hivyo na matibabu yake huwa magumu , hivyo mgonjwa kuchelewa kupona huku wengine kupoteza maisha !

Hatua hii ya ugonjwa ikigundulika mapema inaweza tibiwa!

Nirudi kwenye mada ; ni kwamba vitu anavyovisema ndugu yetu hapo ( Asali & mdalasini ) hizo ni Kitchen remedies ambazo mtu unahitaji kutumia mara kwa mara ili kukusaidia kujikinga na maradhi !

Kwa Magonjwa mbalimbali , ushauri na matibabu , kwa njia ya Traditional Chinese medicine TCM
wasiliana nasi

+255653048888
www.heshoutang.com/heshoutang-dar-es-salaam-tanzania-office
 
Nyie watu wa tiba mbadala ndo mnataka kuua watu
Yaani unataka kutuambia kwamba unaweza ukawa na dalili za malaria kabla ya kupata malaria? Kwamba usipoitibu utaipata?
Anyway unataka kutuambia kwamba symptoms za organ damage zinajitokeza kabla ya damage yenyewe? Nn pathophysiology ya hizo symptoms kama hakuna damage?
Haujui kwamba most of organ failure kama figo,moyo na ini ni asymptomatic maana ake kwenye stage hasa za mwanzo mtu anakuwa na tatizo ila dalili hakuna
Kwa hyo unataka kusema vice versa is possible? Na kivp?
Au unaongelea kwenye spiritual realm labda sio medical based
Kuwa muwazi ww ni mganga wa kienyeji huna utaalam wowote wa kisayansi kama vp tuambie unatokea kampuni gani tulifuatilie
 
huu uzi ulianzishwa mwaka nipo darasa la pili😄😄,wacha nisome comments nijue wazee wa humu na hujifanya vijana.

Asante tabibu
 
Mimi nahitaji kupata dawa za kienyeji za kutibu BP ya juu kuwa chini pls
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…