Love makes People,pia Love breaks People..
Nimeona machalii wengi wanatoka mikoani wanakuja town kutafuta maisha but mambo yakienda kushoto wengi wanachanganyikiwa..
Iwe kwa madawa,prostitution,mentally illness,name it. Wanakosa nini??LOVE, .they get lost bro
Nikagundua kua kila nikiwa na rough time naenda kwa mama kupiga story seeing her around having little chat hili na lile,akili inakaa mahala salama,
Kua na my family in my lowest kuangalia faces that won't judge me,abandon me,or measure my worth by how much shillings is in my pocket
inanipa moyo wa kusimama na kupambania chochote kinachafanya niwe down wakati huo..
Nawaza watu ambao hawana family, wazazi or Safe base mahala wanapohisi wanapendwa unconditional huwa wana cope vipi na stress za maisha??..
Really man I pray for them.