TIC:Hii hapa Mikoa 10 Iliyoongoza Kuvutia Miradi Mingi ya Uwekezaji Tanzania mwaka 2024.

TIC:Hii hapa Mikoa 10 Iliyoongoza Kuvutia Miradi Mingi ya Uwekezaji Tanzania mwaka 2024.

HONGERA SANA TIC , HAKIKA MNAFUNGUA NJIA KWA WAWEKEZAJI BILA URASIMU!!!! KIGOMA NA TABORA NAONA WAWEKEZAJI HAWAJAFIKA.
 
Wakati uwekezaji wa miradi Kwa mwaka 2024 ukivunja rekodi iloyowekwa mwaka 2012 kwa.kusajili zaidi.ya miradi 900 yenye thamani ya Trilioni 20 ,Kuna Mikoa ambayo ndio imenifaika zaidi na Wingi wa miradi.

Kati ya miradi 901,Jumla ya miradi 784 iliwekezwa kwenye Mikoa 10 tuu kati ya Mikoa 31 huku Mkoa wa Dsm ukiongoza na kufuatiwa na Pwani na Arusha.

View: https://www.instagram.com/p/DEo3kjuCqyx/?igsh=ZGE3ZHJxeHp1dnRj

Mikoa 10 Iliyoongoza Kuvutia miradi ya kiuwekezaji Kwa mwaka 2024 ni ifuatayo;

1.Dsm -344
2.Pwani -164
3.Arusha-61
4.Dodoma-46
5.Mwanza-36
6.Tanga -23
7.Morogoro-22
8.Kilimanjaro -18
9.Mbeya-18
10.Geita-17.

My Take
Hakuna dalili ya uwiano wa maendeleo ikiwa Dar itaendelea kushika zaidi ya nusu ya Uchumi wa Nchi.

Aidha Mikoa yote ya Kanda ya Kaskazini inaonekana kuvutia uwekezaji.

Serikali iamue Kwa makusudi kujenga Miji vitovu vya maendeleo Kila Kanda,na Hilo liwekwe kwenye Dira ya Maendeleo 2050.

View: https://x.com/InvestTanzania/status/1876523702411809041?t=zfxKAqX_fhMlzsOZXi-7Sg&s=19


View: https://www.instagram.com/p/DFe_3tqtccH/?igsh=cmJzM2Z2MXN2ajI4
 
Back
Top Bottom