Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli mambo mengine yanafurahisha yaani muwekezaji na akili zake na pesa zake aje acheze kamali kwa kukubali usuluhishi wa hizi mahakama zetu ambazo zinaongozwa na mtu mmoja!!!huyo huyo kila siku ndio anakurupuka kuvunja mikataba hala ukimbilie kwenye mahakama zake??!huko kwenye mahakama ya usuluhishi wa migogoro ya uwekezaji sio kwamba tunashindwa kwa figisufigisu bali ni ulafi wa viongozi wetu waliotanguliza matumbo yao mbele wakati wa kusaini mikataba hiyo!!!leo mnaanza walaumu wazungu kuwa wanatuonea??hata hivyo kwenye mali asili,madini ni wapi ambako kumebakia hakujaibiwa??Huu ni msimamo hasi kwa uwekezaji.
Viongozi si wawekezaji, wao wako upande wa matumizi tu ya kodi, hawazalishi.
Sasa juzi sheria ya Arbitration imepitishwa Bungeni.
Ati mkikosana na muwekezaji itakuwa marufuku kwenda kukubaliana nje ya nchi(Arbitration), kwa taratibu za kimataifa.
Nategemea hili ndo litawakimbiza kabisa hata wale wachache waliokuwa na mawazo ya kuja Tanzania.
Time will tell.
Nchi ya ajabu kweli tra walikuwa kila mwaka wanakukadiria kodi unayotakiwa kuilipa na unailipa baada ya kujirizisha kuwa ndio unastahili kulipa!!baada ya miaka mitano wanakuja na kukwambia kuwa kumbe walikosea makadirio ya kodi ,wali kadiria kidogo hivyo kila mwaka kuna tofauti ya milioni kama 300!!hivyo una deni la 1.5 bilioni!!!haaaaa wakati hiyo pesa hata kuitia mkononi hujawahi,ndio kinachowakuta wau sasa!!!!ndio wanakuja mala ohooo tukae chini tujadiriane jinsi ya kuyafuta!!!kuna jamaa mmoja alikuwa muuza vinywaji vya jumla anadaiwa zaidi ya bilioni 300!!!kipaumbele cha awamu hii ni 'kuwakomesha' walizonazo, mwenyenazo akiwemo mwekezaji anaweza kufanywa chochote dakika yoyote ( in jiwe voice)
Ubabe unawatia hofu wawekezaji wa nje au ndani.Kuna tetesi kuwa idadi ya wawekezaji wapya kupitia kituo cha Uwekezaji, TIC imepungua sana ndani ya miaka miwili iliyopita.
Waekezaji wengi, inaelezwa, wanachungulia hali na kuahidi kurudi, lakini wanaishia.
Tujitahidi Watanzania tuwekeze wenyewe.
Umesema kweli mkuu.Huu ni msimamo hasi kwa uwekezaji.
Viongozi si wawekezaji, wao wako upande wa matumizi tu ya kodi, hawazalishi.
Sasa juzi sheria ya Arbitration imepitishwa Bungeni.
Ati mkikosana na muwekezaji itakuwa marufuku kwenda kukubaliana nje ya nchi(Arbitration), kwa taratibu za kimataifa.
Nategemea hili ndo litawakimbiza kabisa hata wale wachache waliokuwa na mawazo ya kuja Tanzania.
Time will tell.
Wawekezaji Serious lazima watakuja tu, ila wapigaji lazima waingie Mitini this is TZ Mpya Baba Mwenye Mali kaamka usingizini.Kuna tetesi kuwa idadi ya wawekezaji wapya kupitia kituo cha Uwekezaji, TIC imepungua sana ndani ya miaka miwili iliyopita.
Waekezaji wengi, inaelezwa, wanachungulia hali na kuahidi kurudi, lakini wanaishia.
Tujitahidi Watanzania tuwekeze wenyewe.
Kwa kweli hawawezi kuja watuchungulie then wale kona.Walipe kodi, kabla ya kuja!
Mkuu kuamka kiakili zaidi ni kuwekeza mwenyewe.Wawekezaji Serious lazima watakuja tu, ila wapigaji lazima waingie Mitini this is TZ Mpya Baba Mwenye Mali kaamka usingizini.
Ndugu yangu tuombe umri tu TZ inakuja kuwa Nchi nzuri mno, wenye mtazamo huru/Chanya wanalijua hili.Mkuu kuamka kiakili zaidi ni kuwekeza mwenyewe.
Hakuna mtu "serious" atatoka kwao kuja pigwa kodi na levies za kimagumashi na hivyo kuongeza gharama za uzalishaji.
Kama wewe unaweza kuhimili kodi, tozo, maduhuli na levies zilizo nyingi na bado ukafanya biashara ya faida, basi changamkia fursa hiyo, kakope na uingie kazini.
Wishful thinking!Ndugu yangu tuombe umri tu TZ inakuja kuwa Nchi nzuri mno, wenye mtazamo huru/Chanya wanalijua hili.
Tatizo kubwa litakalo tusumbua ni wazamiaji toka Nchi zingine kuja kutafuta maisha hapa TZ.
Tutaishia kuilaumu TIC na wanaweza wakatumbuliwa wakuu wake au hata Taasisi/kituo chenyewe kuvunjwa kabisa
Lakini kwa uhakika kabisa tunajua tatizo halisi liko wapi. Ni hadi pale Tanzania kama nchi itakataa maneno ya mtu mmoja hata awe na cheo gani ndio yawe sheria za nchi
Kwamba kwamba katiba, sera, sheria, kanuni na taratibu zote za nchi zinawekwa pembeni na zinakoma pale kiongozi huyo anapotoa kauli kwa jinsi anavyopenda yeye,hilo ndio tatizo
Hakuna mwekezaji makini atakae tia mguu hapo, tutaishia kupata wababaishaji, wapigaji na ma opportunists tu
😎😎😎Mkuu umesema ukweli mtupu. Usizunguke kusema mtu mmoja, sema tatizo ni rais.
Ndugu yangu tuombe umri tu TZ inakuja kuwa Nchi nzuri mno, wenye mtazamo huru/Chanya wanalijua hili.
Tatizo kubwa litakalo tusumbua ni wazamiaji toka Nchi zingine kuja kutafuta maisha hapa TZ.
Tetesi????????????????Kuna tetesi kuwa idadi ya wawekezaji wapya kupitia kituo cha Uwekezaji, TIC imepungua sana ndani ya miaka miwili iliyopita.
Waekezaji wengi, inaelezwa, wanachungulia hali na kuahidi kurudi, lakini wanaishia.
Tujitahidi Watanzania tuwekeze wenyewe.
Watanzania wengi pumbavu sana. Kwa hiyo mnashangilia uwekezaji usio na tija. Ina maana gani mtu aje kuwekeza bila manufaa kwa nchi. Bora tubaki bila hao wezi[emoji23] [emoji12] Hapa kazi tu .