TIC inatengeza data kudanganya umma au ni ukweli?

TIC inatengeza data kudanganya umma au ni ukweli?

peno hasegawa

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2016
Posts
14,255
Reaction score
23,949
Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC) kimesajili jumla ya miradi 132 yenye thamani ya dola za Marekani 3.16 bilioni (takribani Sh7 trilioni) katika kipindi cha Julai hadi Novemba 2022.

Tunaomba hii miradi iliyosajiliwa Kwa kipindi hicho TIC iweke kwenye website’s ya TIC Ili watanzania waione na vijana wachangamkie ajira huko.

Vinginevyo TIC INAPIKA DATA NA KUUDANGANYA UMMA.
 
Kuna mtu aliyekuwa bingwa wa kupika data zaidi ya jiwe wenu mnayemuabudu kila siku
Hadi akatunga sheria za kuzuia watu kuhoji takwimu zake feki
 
Kuna mtu aliyekuwa bingwa wa kupika data zaidi ya jiwe wenu mnayemuabudu kila siku
Hadi akatunga sheria za kuzuia watu kuhoji takwimu zake feki
Jamaa amekufa, ila bado anaishi kichwani mwako..tena halipii hata kodi
 
Kuna mtu aliyekuwa bingwa wa kupika data zaidi ya jiwe wenu mnayemuabudu kila siku
Hadi akatunga sheria za kuzuia watu kuhoji takwimu zake feki
Sijui kwanini mmegoma kabisa kuacha akili zenu ziwaze ya mbele, huu ugonjwa wa Magufuli mlionao unawadumaza sana kiakili, nina wasiwasi taifa letu litaongeza idadi ya wapumbavu mbele ya safari, na kushika namba moja duniani.

Badala uchangie hoja iliyoko mezani, basing on current political regime, wewe ni Magufuli....jihurumieni! Ok, Magufuli alipika data, Samia akiwa msaidizi wake, leo Samia akiwa kiongozi yeye anafanyaje? anazikaanga!
 
Sijui kwanini mmegoma kabisa kuacha akili zenu ziwaze ya mbele, huu ugonjwa wa Magufuli mlionao unawadumaza sana kiakili, nina wasiwasi taifa letu litaongeza idadi ya wapumbavu mbele ya safari, na kushika namba moja duniani.

Badala uchangie hoja iliyoko mezani, basing on current political regime, wewe ni Magufuli....jihurumieni!
Ccm hawana hoja tea.
Madudu yakigundulika kwenye serikali yao ya sasa...kisingizio ni magufuli aliyefariki
 
Sijui kwanini mmegoma kabisa kuacha akili zenu ziwaze ya mbele, huu ugonjwa wa Magufuli mlionao unawadumaza sana kiakili, nina wasiwasi taifa letu litaongeza idadi ya wapumbavu mbele ya safari, na kushika namba moja duniani.

Badala uchangie hoja iliyoko mezani, basing on current political regime, wewe ni Magufuli....jihurumieni!
Kuwaza ya mbele vizuri ni lazima ukumbuke na ya nyuma, kwa mtu mwenye akili timilifu, historia ni somo zuri sana

Kamwe mafisadi, wauaji na matapeli waliosofia na kufaidika utawala wa jiwe hawawezi kujificha katika kivuli cha uzalendo ili warudi tena madarakani

Serikali ya Samia inapika data kweli lakini mtu aliyesifia upikaji data kipindi cha jiwe hana moral authority ya kuikosoa
 
Vinginevyo TIC INAPIKA DATA NA KUUDANGANYA UMMA.
Seriakli ya CCM haijaanza leo kupika taarifa inazozitoa kwa umma.

Umakumbuka serikali ya Jiwe ilisema:-
  • imejenga viwanda 100 kila wilaya?
  • Tanzania umeingia uchumi wa kati?
  • Tanzania hakuna korona?
  • Magufuli hajafa, bado anachapa kazi?
  • Haijui wapi aliko Tundu Lisu, na kuamua kumfuta ubunge?
  • N.k (usinichoshe)
 
Misukule ya jiwe lazima tuinyooshe inapojaribu kufurukuta
Wewe ndiye mjinga unayepambana na mtu ambaye alishafariki. Huu upunguani wenu hauna tofauti na kugombana na kivuli chako.

Mgekuwa na akili hata kidogo mgejikita kuelezea mazuri ya Rais Samia na jinsi alivyowezesha ukuaji kiuchumi, ila mlivyo wapumbavu mmesababisha mpaka Dkt Magufuli liwe jina lililotajwa mara nyingi hapa Tanzania badala ya Rais Samia.

Hivyo wewe ni pimbi na mjinga fulani usiyekuwa na akili bali ubongo wako umejaa kinyesi chako maana you’re retarded idiot, moron with no brain at all!
 
Kuna mtu aliyekuwa bingwa wa kupika data zaidi ya jiwe wenu mnayemuabudu kila siku
Hadi akatunga sheria za kuzuia watu kuhoji takwimu zake feki
Na hili ndio jibu kwa mleta uzi ?

Kwamba sababu fulani alifanya basi ni sawa tuendelee na upuuzi ? Unless wewe ni mlamba asali basi wewe ndio wale mnaopigana na wenzako kugombania ukoko wakati watu wanaondoka na Wali...
 
Wawekezaji ni wengi kweli infacts wamefurika TIC, proved, Hongera awamu ya sita. Mama #SSH Hoyee!
 
Back
Top Bottom