TIC, TAN-TRADE, EPZA, TTB & BRELA: Mrundikano wa Taasisi zinazofanya kazi zinazofanana

TIC, TAN-TRADE, EPZA, TTB & BRELA: Mrundikano wa Taasisi zinazofanya kazi zinazofanana

Acheni hizo jamani mnataka sisi tukale wapi? kila mwaka tunapiga safari si chini ya 5 nje ya Tanzania (Kujifunza, semina na makongamano) kila baada ya miaka 3 tunapata mgao wa magari mapya, kasha tunauziana hayo ya "Zamani" ukitaka ufanisi kafungue kampuni wewe na mkeo si huku TIC wala TAN-TRADE.

Na kazi yenyewe sifa ukute hauna. Kula nchi mkuu.
 
Nimekaa nikafikiri hapa TZ tuna taasisi nyingi za Serikali kuanzia Tanzania Investment Centre (TIC), EPZA, Tanzania
Tourist Board (TTB), TAN-TRA, BRELA etc. zote zinafanya kazi almost sawa na sioni logic ya kuwa nazo zote. Ningependekeza iundwe Kampuni/Mamlaka mfano: BRAND TANZANIA AUTHORITY halafu hizi taasis ziwe idara ndog ndogo chini ya hiyo mamlaka katika kubana matumizi na kuongeza ufanisi. Vinginevyo kuifanya Tanzania Middle Income country by 2025 itakuwa ni ndoto.

Mwisho wa matatizo ni hapo BRELLA chaka lingine la wezi na wala rushwa
 
Dar es Salaam Institute of Technology, Arusha Techinical College, National Institute of Transport, Mbeya Tech (sijui sasa inaitwaje) nazo hizi zinafanya kazi inayofanana zingefanywa taasisi moja
Hivi we unaangalia mfanano wa majina au unaangalia Vision and Mission za hivi vyuo? Hizi sio Agency za Serikali kamanda.
 
acheni hizo jamani mnataka sisi tukale wapi? Kila mwaka tunapiga safari si chini ya 5 nje ya tanzania (kujifunza, semina na makongamano) kila baada ya miaka 3 tunapata mgao wa magari mapya, kasha tunauziana hayo ya "zamani" ukitaka ufanisi kafungue kampuni wewe na mkeo si huku tic wala tan-trade.
Mkiwa idara iliyo chini ya taasisi mtapoteza hizo "fursa"????
 
Ivi we unaangalia mfanano wa majina au unaangalia Vision and Mission za hivi vyuo? Hizi sio Agency za Serikali kamanda.

We will not go far leaving this situation to continue. To have a better higher learning Institutions there should be a differentiation between Degree awarding and Teaching Institution. For instance, Dar es Salaam University should be a degree awarding to all business related degrees taught by IFM, CBE, MUCoBS, IAA, TIA etc; Sokoine University should be degree awarding institution for all Agriculture related degrees taught by various Institution and Mandela University should be degree awarding for all Science & Technology degrees taught by various Institutions. By do so, the quality of University Education will be higher because (i) The Teaching Universities have to meet conditions set by degree awarding to be allowed to teach their courses and (ii) There will be double marking i.e. course works and examinations marked by teaching Institutions will independently be marked by Degree Awarding University.
 
The fact was not concerned about division and specialization in these institutions though i may argue there is no interference in completion of their duties as long as there are units and levels in each discipline respectively.
Note universities are not specialized for a certain discipline especially for the country like ours.
 
ni ulaji kuanzisha taasisi nyingi nyingi maana kuna marupurupu ya vikao na ma VX na ukiumwa hata mafua au ukitaka ukijihisi umeongezeka uzito unaenda kupima INDIA au USA au SOUTH AFRICA kwa kodi za wananchi. Jiulize kulikuwa kuna ulazima gani wa kuanzisha DUCE & MUCE wakati UDSM Main campus wana Faculty of Education? vipi kuhusu KATAVI UNIVERSITY OF AGRICULTURE wakati SUA yenyewe hatujaitumia inavyopaswa kulingana na admission/carrying capacity yake? Maasai nae akiingia utasikia MONDULI LIVESTOCK UNIVERSITY... basi vurugu tupu
 
Tena usilolijua CEO's wote wa hizi taasisi hupanda BUSINESS CLASS wakisafiri kwa ndege hata kama ni local flights, wakati mwingine Landcruiser VX hutangulia mkoa husika siku 1 kabla ya Mheshimiwa kupaa na ndege kwa ajili ya kumpokea mhe. akitua ndegeni. Nidhamu ya matumizi ya pesa za serikali imetushinda.
 
Rais ajae 2015 aliangalie hili aisee Serikali inapoteza pesa nyingi sana kwa Mlundikano wa Taasisi nyingi zenye malengo ambayo karibu yanafanana ni kama TACAIDS na Tanzania AID Control Programme (pale Wizara ya Afya Makao Makuu).
 
Lengo kubwa ni kwa maafisa kunufaika na hizi taasisi FULL STOP
 
Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka Dar es salaam (DAWASA)

VIS

Shirika la majisafi na majitaka Dar es salaam DAWASCO

(DSM imeundiwa mamlaka na shirika, lakini maji hayatoki)
 
na sasa wanataka kuongeza Tsh. 100 kila lita moja ya mafuta kwa ajili ya kugharimia REA daah hiv hawaoni tayari mi-kodi iliyojazana kwenye mafuta? VAT, EWURA, Road Fund? kwa nn tu serikali ibane matumizi ya Mashangingi ili hiyo hela ipelekwe REA?
 
kugawa taasisi si dawa ya ukiritimba bali ni namna ya kupata vyeo, stahiki (mishahara, allowances, safari n.k) wenzetu Kenya wamepunguza utendaji mwingi pale serikali kuu (kupunguza wizara zisizozidi 22 na hakuna manaibu mawaziri. Sisi tuna mawaziri zaid ya 40 na watendaji kibao. na kila mtu kakabidhiwa TOYOTA LANDCRUISER VX/V8 au NISSAN PATROL, Kusafiri kwenye FIRST/ BUSINESS CLASS bila kuwa PERFORMANCE EVALUATION ya kazi anayofanya
 
ni ulaji kama ilivyo kugawa mikoa na wilaya. makada wanatafutiwa ulaji (hasa wastaafu toka kwenye majeshi yetu, utasikia kapteni mstaafu mkuu wa mkoa, mwenyekiti wa bodI n.k.
 
Back
Top Bottom