Acheni hizo jamani mnataka sisi tukale wapi? kila mwaka tunapiga safari si chini ya 5 nje ya Tanzania (Kujifunza, semina na makongamano) kila baada ya miaka 3 tunapata mgao wa magari mapya, kasha tunauziana hayo ya "Zamani" ukitaka ufanisi kafungue kampuni wewe na mkeo si huku TIC wala TAN-TRADE.
Lowassa 2015 vunja huu upuuzi!
Nimekaa nikafikiri hapa TZ tuna taasisi nyingi za Serikali kuanzia Tanzania Investment Centre (TIC), EPZA, Tanzania
Tourist Board (TTB), TAN-TRA, BRELA etc. zote zinafanya kazi almost sawa na sioni logic ya kuwa nazo zote. Ningependekeza iundwe Kampuni/Mamlaka mfano: BRAND TANZANIA AUTHORITY halafu hizi taasis ziwe idara ndog ndogo chini ya hiyo mamlaka katika kubana matumizi na kuongeza ufanisi. Vinginevyo kuifanya Tanzania Middle Income country by 2025 itakuwa ni ndoto.
Hivi we unaangalia mfanano wa majina au unaangalia Vision and Mission za hivi vyuo? Hizi sio Agency za Serikali kamanda.Dar es Salaam Institute of Technology, Arusha Techinical College, National Institute of Transport, Mbeya Tech (sijui sasa inaitwaje) nazo hizi zinafanya kazi inayofanana zingefanywa taasisi moja
Mkiwa idara iliyo chini ya taasisi mtapoteza hizo "fursa"????acheni hizo jamani mnataka sisi tukale wapi? Kila mwaka tunapiga safari si chini ya 5 nje ya tanzania (kujifunza, semina na makongamano) kila baada ya miaka 3 tunapata mgao wa magari mapya, kasha tunauziana hayo ya "zamani" ukitaka ufanisi kafungue kampuni wewe na mkeo si huku tic wala tan-trade.
MWEZI HUU umeme umepnda bei kwa zaidi ya 30% KIMYAKIMYA!!!!!!!!!!lowassa kamata nchi ulete adabu na kuteua watu wenye akili za kuendesha nchi kwa nidhamu ya hali ya juu.
Ivi we unaangalia mfanano wa majina au unaangalia Vision and Mission za hivi vyuo? Hizi sio Agency za Serikali kamanda.
The fact was not concerned about division and specialization in these institutions though i may argue there is no interference in completion of their duties as long as there are units and levels in each discipline respectively.We will not go far leaving this situation to continue. To have a better higher learning Institutions there should be a differentiation between Degree awarding and Teaching Institution. For instance, Dar es Salaam University should be a degree awarding to all business related degrees taught by IFM, CBE, MUCoBS, IAA, TIA etc; Sokoine University should be degree awarding institution for all Agriculture related degrees taught by various Institution and Mandela University should be degree awarding for all Science & Technology degrees taught by various Institutions. By do so, the quality of University Education will be higher because (i) The Teaching Universities have to meet conditions set by degree awarding to be allowed to teach their courses and (ii) There will be double marking i.e. course works and examinations marked by teaching Institutions will independently be marked by Degree Awarding University.