khaaaa! bado unampa maujanja ya wizi zaidi wakati sisi vibaka tukiiba sidiria ilioanikwa tu tunachomwaga moto? think! michelle think! utanipoteza kwa hali hii.
...Michele, jamaa mbinu zote hizo anazijua, tatizo shemeji yumo ki "rusha roho" zaidi!
Nadhani aim yake, wote waliokuwa wanambeza enzi za ulala hoi 'waipate fresh!'
khaaa! kama siogopi kulichakachua hili sredi muhim hakyanani ningeliendeleza hilo libeneke la hapo red. yaani ghafla pumzi zangu zimepotea.mi waga silazimishi mtu kubadilika,naamini kila kitu kina mwisho na mtu mzima haambiwi tazama.....huyu mama anajua madhara ya matendo yake,na anaweza asikamatwe hadi anastaafu kwanza huwezi jua anakula na nani.....nimeona tu nimshauri awe wa msaada kwa kuanzisha miradi itakayoleta hata ajira kwetu walalahoi.......mimi siwezi kukupoteza wewe,ushakufa umeoza......na wajua mimi si mwizi....miss u!!
khaaa! kama siogopi kulichakachua hili sredi muhim hakyanani ningeliendeleza hilo libeneke la hapo red. yaani ghafla pumzi zangu zimepotea.
sorry mbu nimetoka ofu topik ili kudaka hili zali tu. ok turudini kwenye mada. huyo dada aache wizi haraka sana.
Michelle,rudisha pumzi Kloro tuendelee kujadili mada.....naona hapo Woman Of Substance kasema "halafu tunaambiwa mafisadi ni wanaume tu" wewe una lipi la kusema?:juggle:
hiyo red ni nickname ya mtu hapa JF, asje akashtaki name calling?rudisha pumzi Kloro tuendelee kujadili mada.....naona hapo Woman Of Substance kasema "halafu tunaambiwa mafisadi ni wanaume tu" wewe una lipi la kusema?:juggle:
Michelle,
Si unajua tena siku hizi hakuna cha mwanaume wala mwanamke katika kila "fani" lol!
Kuna msemo uliokuwa unasema hivi " Jela ni ya Wanaume"..itabidi ubaldilishwe.
hiyo red ni nickname ya mtu hapa JF, asje akashtaki name calling?
mimi nasema bora uwe na mafisadi 1000 wa kiume kuliko kuwa na fisadi mmoja wa kike. kama alivyosema mbu hapo awali ufisadi wa kike unaambatana na "rusha roho" , "kukomoa" na some "carelessness", huyu mdada atadakwa muda si mrefu wee subiri tu. kwanza akienda saloon lazma atataka kusimulia mafanikio yake. na usishangae 40% ya hiyo hela anayoiba pengine inakwenda kwenye ma make up na ma lipustiki tu, hakuna future plan.
Aisee story yako inatia kinyaa bana!!hayo si mambo ya kumshauri mtu!huyo mume kama anaipenda nchi yake akaripoti kwa vyombo husika ili awe safe side!...ni mke na mume waliodumu miaka 15 ya ndoa. Wamejaaliwa watoto wawili, miaka 12, na miaka 9. Wazazi wote ni waajiriwa wa serikali. Baada ya kujinyima hapa na pale, mume akaweza kujenga nyumba ya vyumba viwili, wakajistiri. Mke nae akajitahidi kukopa hapa na pale angalau wakaweza kununua 2nd hand (reconditioned) corolla tokea japan.
Kimbembe kimeanza miaka mitatu iliyopita. Mke amebahatika kupangiwa ofisi nyeti ambayo inajihusisha na upatikanaji wa mapato ya serikali. Kufumba na kufumbua, mke kajenga nyumba mbili za kisasa kisha kazipangisha. Nyumba waliyokuwa wanaishi ameiongezea vyumba vingine vinne pamoja na vikorombwezo na nakshi mbali mbali. Almuradi maisha yao shwari mara kumi ya hapo awali.
Kama hilo halitoshi, kawahamisha watoto public school na kuwapeleka kwenye Academy ambako kwa mwaka pamoja na vikorombwezo vingine, anawalipia mara kumi ya mshahara wake. Haikupita muda, kanunua brand New Toyota VX, na sasa ameagiza Range Rover Vogue (Sport) toka Uingereza kwa ajili ya mumewe.
Jamaa (mume) pamoja na unafuu wa maisha, roho yake haimpi! anaona "likibumbuluka" ofisini kwa mkewe, watakumbwa waliokuwamo na wasiokuwamo. Kajaribu kumsahuri mkewe aachane au apunguze mabomu kazini, Mke hasikii la mwadhini wala mnadi swala!... anasema "tumeteseka sana kimaisha, acha nasi tujiliwaze kidogo!"
Jamaa hajielewi elewi kabisaaa. Akifikiria ndoa, yake haijwahi yumbishwa kwa lolote miaka yote kumi na tano. Lakini, kasi ya mkewe na likilipuka, watataifishwa mali zote na huenda mkewe akaishia jela. Mzee wa watu anafikiria aanzie wapi kuepusha 'bomu hili la kutega'
Mna maoni gani.
hiyo yote ni sehem ya rusha roho na hayo mahela anayoiba pengine alitakiwa akuwe na at least magorofa sita mbezi (mbu atafafanua hii). mimi mwenyewe natamani nimjue ili anijaffarai nami nimshyrose banji. hela tam bana. washenzi wamecancell loan yanguYatakushinda Kloro,na bado hujasema......kosa ni hilo la kurusha watu roho....ila tumeambiwa kajenga nyumba mbili na karekebisha hata makazi yake anayoishi na mumewe.......muache kabisa,labda kesho ataanzisha kampuni ya tours au hoteli ya kitalii au kuanza kampuni ya ndege.....you never know!!! natamani nimjue huyu mama,nimpe ushauri tugawane hiyo kodi.....:washing:
hiyo yote ni sehem ya rusha roho na hayo mahela anayoiba pengine alitakiwa akuwe na at least magorofa sita mbezi (mbu atafafanua hii). mimi mwenyewe natamani nimjue ili anijaffarai nami nimshyrose banji. hela tam bana. washenzi wamecancell loan yangu
dah! aisee hapo red nakubaliana na wewe kabisa, yalinikuta nchi flani nikawa naongea na mhudumu nikijua ni mwanamke tena mrembo kuliko husninyo na michelle khaaaa! e bana skuamini liliponiambia yeye ni shemale niliacha msosi mezani nikatimua maana lilikuwa linakaba ajabu. hii dunia hata yesu akiludi nazani iko beyond repair.Michelle,
Si unajua tena siku hizi hakuna cha mwanaume wala mwanamke katika kila "fani" lol!
Kuna msemo uliokuwa unasema hivi " Jela ni ya Wanaume"..itabidi ubaldilishwe.
sku hizi nimekuwa mtu wa maandiko tu. nahubiri sana kupitia PM. leo kidogo nimesitisha biblia na msahafu wangu kaazima mshkaji flani. :focus:hujaacha ushalobaro Kloro? ile loan nilikuwekea kauzibe juu kwa juu manake ulianza mijisifa hata kabla hujapata,nikajua ukiipata haitakusaidia kitu zaidi ya kumaliza wasanii......ukijirekebisha,loan utapata:focus:
dah! aisee hapo red nakubaliana na wewe kabisa, yalinikuta nchi flani nikawa naongea na mhudumu nikijua ni mwanamke tena mrembo kuliko husninyo na michelle khaaaa! e bana skuamini liliponiambia yeye ni shemale niliacha msosi mezani nikatimua maana lilikuwa linakaba ajabu. hii dunia hata yesu akiludi nazani iko beyond repair.
sku hizi nimekuwa mtu wa maandiko tu. nahubiri sana kupitia PM. leo kidogo nimesitisha biblia na msahafu wangu kaazima mshkaji flani. :focus:
Wanasema kila "msiba una mwenzake"; wanufaika wa ufisadi ni wengi na sidhani kama kuna hoja ya kiakili ambayo inaweza kumfanya abadili mawazo.
maisha yamebadilika WOS.....haki sawa na usawa umefika hatua ya juu sana,women dare....na anamnunulia mwanaume range na nyumba kabadili.....huyu mama mi wala sijamchukia....angekuwa anahonga wanaume sawa,ila anaonekana ana akili yake hapo kichwani anahitaji washauri tu wa kumshauri namna ya kutumia kodi yetu vizuri......kama alivyosema MMK hapo juu hakuna hoja ya kiakili itakayomfanya abadili mawazo......!!:washing:
Aisee story yako inatia kinyaa bana!!hayo si mambo ya kumshauri mtu!huyo mume kama anaipenda nchi yake akaripoti kwa vyombo husika ili awe safe side!
kama haoni haja basi aendelee kula raha hdi liwalipukie!Mi sipendi story za wizi inaonekana wewe imekuvutia!au na wewe ni mmoja wao?
nadhani Takukuru wamo humu ndani watachukua hatua za haraka.