...tick-tick!...Mke kanogewa na Ufisadi; Mume hajui la kufanya

...tick-tick!...Mke kanogewa na Ufisadi; Mume hajui la kufanya

...mnh, by the time vijana wa mzee wa Hosea wanaidaka hii, jamaa watakuwa weshabadilisha system ya ku feed info kwenye mtandao. TAKUKURU wakivamia ofisi wanapewa mafaili yenye vumbi, ...wakati wanayapekua, wakipiga chafya mfululizo, ...wajanja wanafyonza (kuondoa) evidence kwa USB.

Mume huyu ana info zote za madhambi ya mkewe, ila kiapo cha ndoa na 'Ukweli wa maisha' vinamfunga.

Mbona wewe kakwambia??
Alafu we ungekua TAKUKURU bila yeye kujua ingekuaje???Na wewe kiapo cha urafiki kingekufunga?
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Mbona wewe kakwambia??
Alafu we ungekua TAKUKURU bila yeye kujua ingekuaje???Na wewe kiapo cha urafiki kingekufunga?

....Lizzy acha kuniweka majaribuni bana. Ofcoz ningejitoa kwenye kesi hii.
Inakubalika kisheria, "conflict of interest which exist between Privacy, Intellectual Property Rights on one hand and Freedon of Expression and the tort of defamation on the other."
 
hiyo yote ni sehem ya rusha roho na hayo mahela anayoiba pengine alitakiwa akuwe na at least magorofa sita mbezi (mbu atafafanua hii). mimi mwenyewe natamani nimjue ili anijaffarai nami nimshyrose banji. hela tam bana. washenzi wamecancell loan yangu

...la, la, la!, :A S 114::nono::A S 114::nono: huyo mwenye maghorofa sita mbezi sie!

duh, nikitaja location nitakuwa nimemchongea swahiba wangu na mamsapu wake.
VX na Vogue lililopo kwenye Container kuelekea Dar ni 'wikileaks' tosha.

Uaminifu kwenye ndoa una tafsiri pana sana.
 
Mwambie mume asiwe na wasiwasi itakuwa anajua anavyojichotea huko ofisini aisee! Ila magari ni rahisi kushitukiwa ofisini ila angeinvest kwenye nyumba anunue share kwenye makampuni mbalimbali, ofisini hawawezi jua, ndio maana kuna msemo unasema mwenye gari zuri asiringe kwani watu wakiamua kutembea na nyumba zao anaweza jiona takataka. ila huyo dada anaonekana ana kaushamba ka magari vile!
 
Mbu hii Topic nimecheka saana nitachangia kesho:A S-coffee:
 
...sidhani ni kaushamba, ila ni mshabiki wa ile tabia ya rusha roho. Ni kweli usemayo kuhusu nyumba, lakini huenda anaamini wataouona uzuri wa nyumba yake ni majirani tu wakati azma ni kila mtaa ataokatisha watu wabakie "e bana wee, waleee...!"
It's hillarious, lakini ndio hivyo tena. Mshipa wa woga ushamtoka.

Mbu hii Topic nimecheka saana nitachangia kesho:A S-coffee:

...ha ha! ...haya bana.
 
...sidhani ni kaushamba, ila ni mshabiki wa ile tabia ya rusha roho. Ni kweli usemayo kuhusu nyumba, lakini huenda anaamini wataouona uzuri wa nyumnba yake ni majirani tu wakati azma ni kila mtaa ataokatisha watu wabakie "e bana wee, waleee...!"
It's hillarious, lakini ndio hivyo tena. Mshipa wa woga ushamtoka.

...ha ha! ...haya bana.
Kama unawafahamu waambie wa waendelee kukaa kwenye position punguze speed, watumishi wa serikali wanatumiaga vigari vya ajabu hata kama wana pesa kiasi gani ilizao
 
Mwanamke amejizatiti na nini mpaka anajiamini kiasi hiki? shauri yake ngoja amulikwe na serikali maana mambo siku hizi sio kama zamani unajichotea tu. Waambie wapunguze matutumuzi yasiyo ya lazima
 
Very interesting.......
Mama fisadi.....mzee kakwama....ila akasahau dhambi ya kwanza ni kukubali vinono vya mara ya kwanza....akitegemea mke ataacha....!
Alinywe tu aisee...he is part of it!
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Honestly Naogopa kuoa! Km mambo ni haya bora nibakie single!
 
...heri mzee mwenzangu umeona, "pupwe lina msisimko kwa kondoo mwenye manyoya haba!"
Jamaa anazeeka kwa woga, tamko la "...for better and or worse!" mbele ya kasisi lina tafsiri pana sana.
 
Honestly Naogopa kuoa! Km mambo ni haya bora nibakie single!

...hapana bana, "Get rich or die trying!". Wewe utakubali mwanao/mdogo wako asome public school...

darasajaa.jpg
...wakati ni kiasi cha ku >> click enter , au >> click delete! unapata school fees za kutosheleza kuwasomesha Academy? Computer ikusaidiaje tena baada ya ukata wote huo? (am joking bana!)
 
Mbu usikute umekatiwa kitu kidogo ili ufiche siri!Kumbuka..mficha fisadi ni sawa na fisadi!Siku wakidakwa wanakutaja kama mshauri/mshawishi mkuu!
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
HIvi, ni nani ambaye akipata nafasi ya kula kidogo naye hatokula kama kwa kufanya hivyo anajihakikishia maisha mzuri yeye na familia yake? Ni lazima tujue kuwa vita dhidi ya ufisadi ni pana sana kwani inatugusa hata sisi wenyewe kwa namna moja au nyingine. Japo si wote tunaweza kuingia mikataba mibovu na si wote tunaweza kuchota mabilioni lakini ni wangapi kati yetu ambao wanajua wakiongoza sifuri moja au wakigeuza sita kuwa nane au tano kuwa mbili ni tofauti kati ya kumalizia kibanda na kuendelea kulala kwa mama mwenye nyumba?
 
MMK swali zuri ila ungeanza kwa kusema kama wewe unaweza au lah!Binafsi naweza sana...nikifikiria kwamba naweza kudhani naboresha maisha alafu mwisho wake yakaharibika kabisa ni heri niwaangalie wengine tu!
 
Mwambie mume asiwe na wasiwasi itakuwa anajua anavyojichotea huko ofisini aisee! Ila magari ni rahisi kushitukiwa ofisini ila angeinvest kwenye nyumba anunue share kwenye makampuni mbalimbali, ofisini hawawezi jua, ndio maana kuna msemo unasema mwenye gari zuri asiringe kwani watu wakiamua kutembea na nyumba zao anaweza jiona takataka. ila huyo dada
anaonekana ana kaushamba ka magari
vile!

Halafu tunalalamika hapa everyday about ufisadi. Guys charity begins at home. Na integrity inaanza na wewe mwenyewe.

Kutokana na comment kama hii, naamini 90% ya wanaJF wakipata nafasi ni kina Lowasa tu! Prove me wrong
 
Mbu usikute umekatiwa kitu kidogo ili ufiche siri!Kumbuka..mficha fisadi ni sawa na fisadi!Siku wakidakwa wanakutaja kama mshauri/mshawishi mkuu!

Mnhhh, :A S 39:...:nono:
...Misconception of Justice, Objection Sustained!

Nazijua Civil Liberties zangu bana. Mtu anafungwa kwa substancial evidence(s),

sio mere speculations. Wapi nime pervert course of Justice?

Halafu kumbuka, huyu kaka na mkewe bado "Innocent until proven guilty by court of Law"
Hilo nalo neno bana.

HIvi, ni nani ambaye akipata nafasi ya kula kidogo naye hatokula kama kwa kufanya hivyo anajihakikishia maisha mzuri yeye na familia yake? Ni lazima tujue kuwa vita dhidi ya ufisadi ni pana sana kwani inatugusa hata sisi wenyewe kwa namna moja au nyingine. Japo si wote tunaweza kuingia mikataba mibovu na si wote tunaweza kuchota mabilioni lakini ni wangapi kati yetu ambao wanajua wakiongoza sifuri moja au wakigeuza sita kuwa nane au tano kuwa mbili ni tofauti kati ya kumalizia kibanda na kuendelea kulala kwa mama mwenye nyumba?

Mzee Mwanakijiji, unataka watu wakimbie computer zao sasa...LOL!
 
Mbu endelea kuomba maana unaweza kuta maongezi yenu yote yapo kwenye hard disk somewhere.Sasa kama ushauri waku unaegemea kwao zaidi ya kuacha ufisadi wakianguka wanakuvuta na wewe!Sweet eh?
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
DAH..!!!!!!!!!!!! ZA MWIZI AROBAINI!!!! ANYDAY KITANUKA!!!!!:lol: Dah..jamaa lazima awe mpole.....anaweza pewa talaka faster!!! :tongue:
 
Back
Top Bottom