Ticket ya ndege Dar-Nairobi $450, Dar-Ulaya $650. Ni sawa kweli?

Ticket ya ndege Dar-Nairobi $450, Dar-Ulaya $650. Ni sawa kweli?

Ethiopian. KQ hata kwa dawa sipandi ng'o!
Tiwa Savage airport Nairobi [emoji7]

1479589919319.png
 
Getting desparate are we??

Same pictures Same 4 old buildings ... Same angle ....same Photographer .. .same Time of Capture .....same everything ....

Lets do this

Show me The Ground how people operate....

Tunajua Watu Dar hula Intestines za kuku na miguu kwa mama ntilie hehehe

View attachment 436608View attachment 436609View attachment 436610View attachment 436611
Hahahaa umefanya nikakumbuka mama ntilie wa Kenya unafungiwa maharage yamechemshwa kwenye mfuko wa nylon eti take away lol!
 
Daradaras.....hahahaa.....unatia aibu. Kojoa ukalale.

That is what you b**** say...You have no idea it should be daladalas.....nasikia tu daradaras.....kumbe hata kwa hii haufahamu kwamba nakutania tu.....You don't even notice the quotes???...Sorry evil soul....Bora usiniroge......Now,I am done with you...You cannot even sustain anything of discussion
 
a reason why KQ dies and believe me next year when JPM buys two jets tutabanana nao kwenye routes naskia plan ni kuwa na frequency kama KQ iliyonayo kwa routes za Tanzania!
Yani, hiyo sio ndoto wala fikra, its a realty. Sasa hivi hawa wezi kuleta za fastjet, ....mara hoo, hiyo sio kampuni yenu, yani pata chimbika.
 
Yani, hiyo sio ndoto wala fikra, its a realty. Sasa hivi hawa wezi kuleta za fastjet, ....mara hoo, hiyo sio kampuni yenu, yani pata chimbika.
1479594211256.png
1479594218645.png

Meanwhile Read the Dates Below
1479594330347.png
1479594336076.png
1479594340568.png
1479594343734.png
1479594346795.png
1479594350374.png
1479594381135.png
1479594384824.png

Whatever lies CCM was feesing you over the Past 3 yrs on The Kenyan economy tell them to reThink

This year Kenya has been the highest FDI recipient in Sub saharan Africa

Our Economy is at 70bn$ TZ is at 46bn$

And KQ has started up again....

SGR inatokea next year Just sleep
 
View attachment 436617View attachment 436618

Meanwhile Read the Dates Below
View attachment 436619View attachment 436620View attachment 436621View attachment 436622View attachment 436623View attachment 436624View attachment 436626View attachment 436627

Whatever lies CCM was feesing you over the Past 3 yrs on The Kenyan economy tell them to reThink

This year Kenya has been the highest FDI recipient in Sub saharan Africa

Our Economy is at 70bn$ TZ is at 46bn$

And KQ has started up again....

SGR inatokea next year Just sleep

Mbona povu kali hivi, i hope utapata usingizi wa kulala usiku, its only a damn airline.

Kichekesho ni kwamba, fastjet walivyo taka kuja Kenya, mlijaza maneno mengi hapa JF. Eh hii airline sio ya Tanzania ni ya UK, leo unasema ni ya Tanzania na ina elekea kufa (wazee wa kuhamisha magoli hao). When you narrow your losses it doesn't mean your out of the woods, bado miguu imezama kwenye matope. KQ walifanya makosa walipo jaribu kuruka kabla hawaja weza kutembea. Tourist wamepungua kuja Kenya, number ya flights in and out of JKIA imeongezeka, travel warning from US na Europe ina vuruga kila kitu, na wale wasomali sio wakucheka nao, maana wao wana uwezo wa kuzima taa zote za KQ future. Juzi tuu mgomo wa KQ pilot ulitaka kuondoa another percentage points from KQ stock market, hakuna CEO mwenye majibu ya to turn around company when there is a weak world economy involved. US route was the biggest gumble for KQ walizani wakinunua huge number of Dreamliners, US wata wapa routes. Wamesahau kwamba na wao US wako tayari na sindano zao za sumu wanataka kuichoma KQ ili ife, ndio America Airlines na Delta airways wachukuwe route za Kenya <-> USA.

Oh one more thing, ....good luck with SGR.
 
Duuuh, blah blah nyingi tu lakini hamjiwezi, mtanzania hawezi akaongea mambo ya air travel akaskizwa na yeyote mwenye akil timamu!. Air tanzania na mapanga boi yao wamekua hoi toka shirika lianze, hio ni aibu na laana jamani. Tulishasema humu wanyarwanda wakitoa point humu tutawaskiza, wanajaribu sana, nyie na burundi kapu moja la wasiojiweza[emoji90]
 
Kweli intra african trade and tourism badoo ni ndoto za alinacha.
Yaani ticket ya ndege Dar-Nairobi $450 na ya Dar-Europe $650?!
Haiingii akilini.
MAPENDEKEZO: Lifufuliwe shirika la ndege la EAC. Kila nchi iwe na equal shares, na shirika liwe na unlimited market access all across the region for domestic and international flights.
Umaskini na ujamaa kitu kibaya sana, kesho si mtasema mnataka msafiri bure kwa ndege kama zile mwendokasi zenu. Tumieni zile panga shaa zenu eboo!, kq is only for premium bussines travellers, maskini nendeni ethiopian. Kama huna hela panda shabiby hadi nairobi sio kulialia humu..
 
Mkuu unafananisha Ethiopian airline na that your loss making KQ??
Upo kwenye Normal sense?
 
Intra shit Africa, bullshit.......na wenyewe hawa wabongo kikiletwa jambo la pamoja kila mara lazima walipinge!.............mkafie mbaaaaaaaali!.................mnaudhi kwel kweli!
Mfyate midomo yenyu mkitaka intra Afrika shit mkaitengeze na wahindi wa Indiaau waarabu!

Kila kitu cha intra EAC mmekipinga, siyo same calling rates,siyo transport, siyo visa na meeengi tu!......kwendeni mbali ,kila mtu kivyake...KENEXIT.......mkafie mbele.
 
Punguza jazba ndugu, it's not good for your health.
See the thing is, nyie Kenya mnaleta vitu ambavyo havina maslahi kwa Jumuiya. Mnajijali tu nyie na business community yenu ambayo ni a small group of elites in cahoots with your politicians.
Em meteni basi miradi ya elimu na afya muone kama tutakataa. Mambo ya tourism visa hayana faida kwa watu walio wengi. Na hizo EPAs.
Alafu sio kweli umesahau tulikuwa nchi ya kwanza kutia saini itifaki ya umoja wa fedha? Do you know that is one of the big pillars of integration? Tungekataa hiyo you would've had a right to speak.
Hili la ndege i don't see why Tanzania would refuse it. It's for all our benefits.
 
Ni bei kutoka kwenye active website za kununulia ticket za ndege kwa siku ya leo, kama vile Travelocity. Kama huzijui au huzitumii usibishe, hujui!
Na wala sina haja ya kujua mi nikitaka ticket naenda kwa agent
 
Back
Top Bottom