Ticket ya ndege Dar-Nairobi $450, Dar-Ulaya $650. Ni sawa kweli?

Ticket ya ndege Dar-Nairobi $450, Dar-Ulaya $650. Ni sawa kweli?

Huko siyo ulaya tena baada ya mayahye el al wa Suriyah na kwingineko kujichanganya!..hhahah...😀😀 si mmeona jinsi walokole hawawataki humo?...mmeshaugeuza nchi kuwa ya dunia ya nne vile!
Hahaa we naona unautafuta ugomvi. Ngoja wadau wakusikie.....kina dada faiza na mwenzake big boss
 
Nadhani kuna mode of scale... mkiwa wengi mnalipa kidogo, mkiwa kidogo mnalipa nyingi..
Ndege za kwenda ulaya hua si kila siku zinajaa, lakini kampuni zinajua wako guaranteed siku zote kutakua na abiria kiwango flani cha kutosha.... lakini ndege za humuhumu, kampuni hazijui kila siku itakuaje, abiria wanakuja na misimu yao, leo abiria 80, kesho abiria 15, keshokutwa abiria 30, mtondogoo abiria wanane!

mada ya bei za airfare east africa ata sitaki nitaje culpits ni hawa wenye kulalamika!!! si wamekataa kusign open air plans za COW ndio bei zishuke!!! tz mara am thinking abt it...keshowe anataka leo sitaki...kama msichana tu!!!
 
Back
Top Bottom