Sammuel999
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 3,481
- 2,347
They clearly dont need you considering KQ Boarded 6.3mn passengers last yearEthiopian. KQ hata kwa dawa sipandi ng'o!
Tiwa Savage airport Nairobi [emoji7]Ethiopian. KQ hata kwa dawa sipandi ng'o!
Hahahaa umefanya nikakumbuka mama ntilie wa Kenya unafungiwa maharage yamechemshwa kwenye mfuko wa nylon eti take away lol!Getting desparate are we??
Same pictures Same 4 old buildings ... Same angle ....same Photographer .. .same Time of Capture .....same everything ....
Lets do this
Show me The Ground how people operate....
Tunajua Watu Dar hula Intestines za kuku na miguu kwa mama ntilie hehehe
View attachment 436608View attachment 436609View attachment 436610View attachment 436611
Sawa whatever soothes your ego.....but Kula intestines za kuku uuuuurgh!!!...Hahahaa umefanya nikakumbuka mama ntilie wa Kenya unafungiwa maharage yamechemshwa kwenye mfuko wa nylon eti take away lol!
Yeah ......since 1946 its been alive when did Tanzania Air die???And still posted losses. HUGE losses.
Yeah ......since 1946 its been alive when did Tanzania Air die???
Fastjet??? Is it dead yet???
Kenya kuna 12 airlines
KQ is just 1
......tanzania kuna ngapi???
Now sleep!!!
Daradaras.....hahahaa.....unatia aibu. Kojoa ukalale.
[emoji23]
Yani, hiyo sio ndoto wala fikra, its a realty. Sasa hivi hawa wezi kuleta za fastjet, ....mara hoo, hiyo sio kampuni yenu, yani pata chimbika.a reason why KQ dies and believe me next year when JPM buys two jets tutabanana nao kwenye routes naskia plan ni kuwa na frequency kama KQ iliyonayo kwa routes za Tanzania!
Yani, hiyo sio ndoto wala fikra, its a realty. Sasa hivi hawa wezi kuleta za fastjet, ....mara hoo, hiyo sio kampuni yenu, yani pata chimbika.
View attachment 436617View attachment 436618
Meanwhile Read the Dates Below
View attachment 436619View attachment 436620View attachment 436621View attachment 436622View attachment 436623View attachment 436624View attachment 436626View attachment 436627
Whatever lies CCM was feesing you over the Past 3 yrs on The Kenyan economy tell them to reThink
This year Kenya has been the highest FDI recipient in Sub saharan Africa
Our Economy is at 70bn$ TZ is at 46bn$
And KQ has started up again....
SGR inatokea next year Just sleep
Duuuh, blah blah nyingi tu lakini hamjiwezi, mtanzania hawezi akaongea mambo ya air travel akaskizwa na yeyote mwenye akil timamu!. Air tanzania na mapanga boi yao wamekua hoi toka shirika lianze, hio ni aibu na laana jamani. Tulishasema humu wanyarwanda wakitoa point humu tutawaskiza, wanajaribu sana, nyie na burundi kapu moja la wasiojiweza[emoji90]Mbona povu kali hivi, i hope utapata usingizi wa kulala usiku, its only a damn airline.
Kichekesho ni kwamba, fastjet walivyo taka kuja Kenya, mlijaza maneno mengi hapa JF. Eh hii airline sio ya Tanzania ni ya UK, leo unasema ni ya Tanzania na ina elekea kufa (wazee wa kuhamisha magoli hao). When you narrow your losses it doesn't mean your out of the woods, bado miguu imezama kwenye matope. KQ walifanya makosa walipo jaribu kuruka kabla hawaja weza kutembea. Tourist wamepungua kuja Kenya, number ya flights in and out of JKIA imeongezeka, travel warning from US na Europe ina vuruga kila kitu, na wale wasomali sio wakucheka nao, maana wao wana uwezo wa kuzima taa zote za KQ future. Juzi tuu mgomo wa KQ pilot ulitaka kuondoa another percentage points from KQ stock market, hakuna CEO mwenye majibu ya to turn around company when there is a weak world economy involved. US route was the biggest gumble for KQ walizani wakinunua huge number of Dreamliners, US wata wapa routes. Wamesahau kwamba na wao US wako tayari na sindano zao za sumu wanataka kuichoma KQ ili ife, ndio America Airlines na Delta airways wachukuwe route za Kenya <-> USA.
Oh one more thing, ....good luck with SGR.
Umaskini na ujamaa kitu kibaya sana, kesho si mtasema mnataka msafiri bure kwa ndege kama zile mwendokasi zenu. Tumieni zile panga shaa zenu eboo!, kq is only for premium bussines travellers, maskini nendeni ethiopian. Kama huna hela panda shabiby hadi nairobi sio kulialia humu..Kweli intra african trade and tourism badoo ni ndoto za alinacha.
Yaani ticket ya ndege Dar-Nairobi $450 na ya Dar-Europe $650?!
Haiingii akilini.
MAPENDEKEZO: Lifufuliwe shirika la ndege la EAC. Kila nchi iwe na equal shares, na shirika liwe na unlimited market access all across the region for domestic and international flights.
Bei za kugoogle hizo.
Mkuu unafananisha Ethiopian airline na that your loss making KQ??Umaskini na ujamaa kitu kibaya sana, kesho si mtasema mnataka msafiri bure kwa ndege kama zile mwendokasi zenu. Tumieni zile panga shaa zenu eboo!, kq is only for premium bussines travellers, maskini nendeni ethiopian. Kama huna hela panda shabiby hadi nairobi sio kulialia humu..
Punguza jazba ndugu, it's not good for your health.Intra shit Africa, bullshit.......na wenyewe hawa wabongo kikiletwa jambo la pamoja kila mara lazima walipinge!.............mkafie mbaaaaaaaali!.................mnaudhi kwel kweli!
Mfyate midomo yenyu mkitaka intra Afrika shit mkaitengeze na wahindi wa Indiaau waarabu!
Kila kitu cha intra EAC mmekipinga, siyo same calling rates,siyo transport, siyo visa na meeengi tu!......kwendeni mbali ,kila mtu kivyake...KENEXIT.......mkafie mbele.