Ticket ya ndege Dar-Nairobi $450, Dar-Ulaya $650. Ni sawa kweli?


πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€!
 
Mkuu unafananisha Ethiopian airline na that your loss making KQ??
Upo kwenye Normal sense?

Ethiopian ni ya masikini yajulikana kote!.....serikali yao ya ujamaa huficha financial reports zote, hujiulizi ni kwanini waethiopia hutoroka nchi yao na hufa njaa ilhali uchumi wao unasemekana unakua?...serikali ya kikatili huchukua hela zote wakazimwaga kwenye airline!...inaitwa GOVERNMENT SUBSIDIZED AIRLINE.
Kama tu vile waarabu huchukua za mafuta wakazimwaga kwenye airline zao kuficha hasara, in real sense hizo sizo biashara ,ni kapu kubwa inayomeza ushuru na fedha za umma.
Tabia za kijamaa jamaa/kikomunisti.
Hayo makampuni yakiwachiliwa yawe huria, hayataishi hata miezi mitatu tuu bila kuporomoka!...get that into your thick head!
 

Wacha ukiritimba, siku zote lazma uliwe ndiyo ule.
Lazima uachilie kadhaa ili nawe upate kadhaa....bure ni kujidanganya.
Nyie mnafaa kuangalia ni lipi mnalotaka kila mara Kenya akija na lake....to put it in English, sisi hatukai tukaangalia ni nin mnataka nyie ,tunajiangalia wenyewe nyie pia vivyo hivyo.
Basi Kenya akija na anachokitaka mnafaa kuchangamkia fursa kumweleza kua mtakubali yeye pia akikubali mnachokitaka papo hapo...yaani give and take....kupokezana.
Bila shaka mla huliwa!
 
Tim Choice, wacha wivu ukweli ni kwamba ET ina sound business plan n returns! A reason big banks like Afriexim is willing to lend them! U r no way smarter than such financial institutions..
 
Mkuu , Absolutely those r your assumptions, and I am sure u can't bring a single evidence on table.
Kama ET airline ni ya masikini ya Matajiri ni ipi? KQ?
What about many other private airlines making profits? Are they getting subsides from who?
And can u prove KQ haipati ruzuku serikalini?
Halafu get this deep in your cerebral hemisphere, a coin have two sides,
Ujamaa made Tz a National, kusingekuwa na Tz wala Ethiopia Bila ujamaa..
 

Halafu msijidanganye na huo "unational" sijui nyef nyef wenyu!
Hadi mtakapoig'oa chama chenyu hicho dhalimu tena kimoja tawala ndipo ntakapowaona wenye akili zenyu.
Nyie bado saana..mtakapo tia akili mtaanza mchakato wa kuiongoa hilo jitu liCCM na hapo ndipo mtakapoziona rangi zenu(ukabila/udini/mgawanyiko) za kweli pamoja na damu ya ukombozi wa kweli(ukombozi wa pili).
Hao waethiopia leo hii wapo chini ya utawala dhalimu wa mabavu na wapo chini ya STATE OF EMERGENCY sasa hivi.
Nyie nyote bado mpo matopeni.....na itapelekea vurugu za ajabu ili muingie kwenye demokrasia ya kweli...fungeni mkanda!
 
Hehehe..
unataka kuniaminisha kama mliitoa KANU madarakani? Au kanu changed the brand name[emoji3] [emoji3]
 
Hehehe..
unataka kuniaminisha kama mliitoa KANU madarakani? Au kanu changed the brand name[emoji3] [emoji3]

Tuliing'oa kabisa na tukapata TRUE and ALL OPPOSITION PARTIES UNITING AND FORMING A HUGE GOVERNMENT...
Then tukapata KATIBA MPYAAAAAAAAAAAA!.......πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜›πŸ˜€......hapo patamu aiseee!
 
a reason why KQ dies and believe me next year when JPM buys two jets tutabanana nao kwenye routes naskia plan ni kuwa na frequency kama KQ iliyonayo kwa routes za Tanzania!


You seriously expect two new planes of a recently launched airline to beat over 50 planes of an airline that's been around for four decades? lol. This reminds me of how you used to yap about FastJet
 
Tim Choice, wacha wivu ukweli ni kwamba ET ina sound business plan n returns! A reason big banks like Afriexim is willing to lend them! U r no way smarter than such financial institutions..
Says a guys calling Kenya poorer than tanzania yet WB IMF etc say TZ is an LCD
 
Hahahaha hapa umewanasa

Ethiopia airlines financial report nikama trump tax return report

Zote ni Confidential

Ndiyo mi huwaambia kila siku hawana lolote hawa.
Nipo nje ya bara letu pendwa ,kila siku shirika linasema ili kupunguza matumizi safari zetu tuwe tunachagua mashirika kama hizo Ethiopia kwa kuwa ni cheap ass!
Ukiweka Emirates ama KQ wanalia kweli kwel kwa kuwa ni ghali maradufu ,wanakulazimisha ukatafute mbadala!
 
You seriously expect two new planes of a recently launched airline to beat over 50 planes of an airline that's been around for four decades? lol. This reminds me of how you used to yap about FastJet
Not four decades since 1946 .....it just changed its name in 1977
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…