Nadhani kuna mode of scale... mkiwa wengi mnalipa kidogo, mkiwa kidogo mnalipa nyingi..
Ndege za kwenda ulaya hua si kila siku zinajaa, lakini kampuni zinajua wako guaranteed siku zote kutakua na abiria kiwango flani cha kutosha.... lakini ndege za humuhumu, kampuni hazijui kila siku itakuaje, abiria wanakuja na misimu yao, leo abiria 80, kesho abiria 15, keshokutwa abiria 30, mtondogoo abiria wanane!