The Spirit of Tanzania
JF-Expert Member
- Mar 7, 2020
- 1,045
- 1,868
Naambatanisha ticket ya mzigo (tena nikiwa ndani ya bus).
kipengele namba 5 na namba 7 hazitakiwi kuwa hivyo.
Abood badilisheni huu utaratibu wa ticket,kwa kuwa haiwezekani mtu alipe ticket ya mzigo na upo kwenye "boot" ya bus ila mzigo ukipotea hamuwajibiki; haifai.
View attachment 1782896
yani nisafirishe inch 65 yangu ya tv alafu wanambie imeibiwa nikae kimya labda hawanijui vizuriNaambatanisha ticket ya mzigo (tena nikiwa ndani ya bus).
kipengele namba 5 na namba 7 hazitakiwi kuwa hivyo.
Abood badilisheni huu utaratibu wa ticket,kwa kuwa haiwezekani mtu alipe ticket ya mzigo na upo kwenye "boot" ya bus ila mzigo ukipotea hamuwajibiki; haifai.
View attachment 1782896
Tuwekee waraka wao nao tuwapimeachana nao, panda BM, simple
Kuna malalamiko mengi sana ya abiria kuibiwa laptops kwenye hayo mabasi, sasa naanza kuona chanzo huenda ni deals zilikuwa zinasukwa kupitia kipengele hichoHuo ni utaratibu wa mabasi yote sio Abood tu. Mimi siipendi kabisa sheria hiyo
Na kuna mahali abiria huwa wanaibiwa sana, sijui kama sheria ilishabadilishwa, ila unakuta abiria amesafiri na mzigo wa chini ya kilo 20 anatozwa nauli ya mzigo, wakati sheria inamtaka msafiri kulipia kilo ya 21 na kuendeleaHapo wanajifurahisha tu na haya masharti sababu sheria inachoangalja katika mikataba, huwa wanaangalia je hakuna upande umependelewa. Ukiangalia sharti hilo la 5 na la 7 mahakama inaweza ikatengua sababu yamewekwa kwa upendeleo wa mtu mmoja.
Wengi huwa wanapigwa sana kwenye hii kitu. Wajinga ndo waliwao aiseeNa kuna mahali watu huwa wanaibiwa sana, sijui kama sheria ilishabadiliswa, ila unakuta abiria amesafiri na mzigo wa chini ya kilo 20 anatozwa nauli ya mzigo, wakati sheria inamtaka msafiri kulipia kilo ya 21 na kuendelea
Wengini wale waliokosa watetezi, lakini hata mamlaka husika haziwaelimishi wananchi juu ya sheria hiiWengi huwa wanapigwa sana kwenye hii kitu. Wajinga ndo waliwao aisee