Ngungenge
JF-Expert Member
- Jun 11, 2016
- 2,914
- 3,386
TICTS mmebembelezwa sana juu ya kuongeza ufanisi wa kazi zenu. Mliongezwa mkataba wa miaka mitano ili mboreshe lakini mmeshindwa.
Mlipewa proposal muongeze winch za kupakia na kupakua mzigo badala yake mkaendelea kufanya kazi kienyeji. Yaani mnapata pesa nyingi lakini hamtaki kuwekeza.
Haiwezekani TICTS ifanye kazi kwa speed ya TPA ambao kimsingi tekinolojia yao iko chini
Kama mngeongeza ufanisi na kuwekeza kwenye ujenzi wa miundombimu na kuonesha nia ya kuongeza upakuaji wa mizigo serikali isingekuwa na haja ya kutafuta mwekezaji mwingine hivyo muiache serikali ifanye kazi na watu wengine
Vita yenu hamtaweza kushinda kamwe hamtaweza kushindana na serikali na kamwe hamtaweza kuishinda serikali inayoongowa na Mama Makini Dkt. Samia Suluhu Hassan
Tunawapa muda nao DP World wafanye kazi kisha tuone manadiliko tunayoyataka
MAMA KANYAGA TWENDE