Hizo dua zenu zakufikiri eti Mama afe padiri philipo mipango awe raisi sahau kabisa, ata toboa tu.Usidhani Kila vita serikali lazima ishinde, Mungu ataamua ugomvi.
Mi sifi sababu sifanyi dhuluma, Kwa kifupi serikali inawadhulumu wa Tanganyika mchana kweupe.Utakufa wewe Rais Samia atabaki
Mkataba unasemaje?TICTS mmebembelezwa sana juu ya kuongeza ufanisi wa kazi zenu. Mliongezwa mkataba wa miaka mitano ili mboreshe lakini mmeshindwa.
Mlipewa proposal muongeze winch za kupakia na kupakua mzigo badala yake mkaendelea kufanya kazi kienyeji. Yaani mnapata pesa nyingi lakini hamtaki kuwekeza.
Haiwezekani TICTS ifanye kazi kwa speed ya TPA ambao kimsingi tekinolojia yao iko chini
Kama mngeongeza ufanisi na kuwekeza kwenye ujenzi wa miundombimu na kuonesha nia ya kuongeza upakuaji wa mizigo serikali isingekuwa na haja ya kutafuta mwekezaji mwingine hivyo muiache serikali ifanye kazi na watu wengine
Vita yenu hamtaweza kushinda kamwe hamtaweza kushindana na serikali na kamwe hamtaweza kuishinda serikali inayoongowa na Mama Makini Dkt. Samia Suluhu Hassan
Tunawapa muda nao DP World wafanye kazi kisha tuone manadiliko tunayoyataka
MAMA KANYAGA TWENDE
Wengi wanaopinga huu uwekezaji hawajui adha za bandarini. Hawana uzoefu wa shughuli halisi za bandarini zaidi ya kufuata mikumbo.Mkataba unawapa fursa DP World kuwekeza kwenye hizo bandari nyingine kama njia ya kufanikisha usafirishaji wa mizigo
Sidhani kama kuna wanaopinga DPW kupewa ila wanapinga vifungu vya mkataba. DPW watasimamia bandari muda gani?Wengi wanaopinga huu uwekezaji hawajui adha za bandarini. Hawana uzoefu wa shughuli halisi za bandarini zaidi ya kufuata mikumbo.
TICTS mmebembelezwa sana juu ya kuongeza ufanisi wa kazi zenu. Mliongezwa mkataba wa miaka mitano ili mboreshe lakini mmeshindwa.
Mlipewa proposal muongeze winch za kupakia na kupakua mzigo badala yake mkaendelea kufanya kazi kienyeji. Yaani mnapata pesa nyingi lakini hamtaki kuwekeza.
Haiwezekani TICTS ifanye kazi kwa speed ya TPA ambao kimsingi tekinolojia yao iko chini
Kama mngeongeza ufanisi na kuwekeza kwenye ujenzi wa miundombimu na kuonesha nia ya kuongeza upakuaji wa mizigo serikali isingekuwa na haja ya kutafuta mwekezaji mwingine hivyo muiache serikali ifanye kazi na watu wengine
Vita yenu hamtaweza kushinda kamwe hamtaweza kushindana na serikali na kamwe hamtaweza kuishinda serikali inayoongowa na Mama Makini Dkt. Samia Suluhu Hassan
Tunawapa muda nao DP World wafanye kazi kisha tuone manadiliko tunayoyataka
MAMA KANYAGA TWENDE
DPW wataondoka pale muda wowote hii mikataba ya kiutendaji itakapokutana na dosari ambazo kisheria zinatosha kuwa sababu ya kuvunja mkataba.Sidhani kama kuna wanaopinga DPW kupewa ila wanapinga vifungu vya mkataba. DPW watasimamia bandari muda gani?
Kwani IGA imetoa bandari gani kwa mwekezaji?Sidhani kama kuna wanaopinga DPW kupewa ila wanapinga vifungu vya mkataba. DPW watasimamia bandari muda gani?
Mama wa kambo alimuua baba ili apate nafasi ya kutapanya mali na mahawara zake.TICTS mmebembelezwa sana juu ya kuongeza ufanisi wa kazi zenu. Mliongezwa mkataba wa miaka mitano ili mboreshe lakini mmeshindwa.