Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Haya mambo wameweza wasanii watatu tu Sugu, Jaydee na Diamond, mpaka radio zenyewe zikajirudi kiaina na kuanza kupiga nyimbo zaoAisee ndio maana ana maisha magumu hadi sasa
Hakika. Ukijitambua hakuna mtu anaweza kukushushaHaya mambo wameweza wasanii watatu tu Sugu, Jaydee na Diamond, mpaka radio zenyewe zikajirudi kiaina na kuanza kupiga nyimbo zao
Clauds ilikuwa redio ya kisenge sana ,imeuwa vipaji vingi sana
USSR
Hilo halina ubishi, jamaa ana talanta kubwa sanaPole sana Kwa TID Mnyama
Wakati mwengine pamoja na vipaji vikubwa walivyonavyo wasanii wetu, suala la nidhamu ya kazi ni muhimu sana kuwa nayo.
Kusema kweli, TID Mnyama ni Legendary mwenye kipaji na sauti adhimu sana
Hebu kasikilizeni Wimbo wa Zeze pamoja na wimbo wa Asha.
The guy is so so talented
Tumpe Maua yake akiwa hai tusisubiri afariki Dunia
Changamoto ya wasanii wengi wa zamani ni ulaibu wa madawa ya kulevya pamoja na BangeHilo halina ubishi, jamaa ana talanta kubwa sana
Inategemea mkuu, maana vipaji vingi pia viliingia kwenye tasnia kwa kubebwa bebwa sasa ilikuwa wakiingia kwenye mgogoro ilikuwa watu wanapandishiwa show yaani siku una show nao msanii wao ambae kipindi hicho ndo wanakuwa nae bega kwa bega ndo nae wanamwandalia show the same day, uki-cancel na wao Wana cancel na promotion za kutosha na ukifanya mchezo hata wadhamini wanaingizwa kwenye zengwe (hapa sasa kama huna kifua unatoka relini kumbe ulitakiwa ukomae na kipaji chako)Akili mgando. Mtu au company yeyote ile haiwezi kuua kipaji chako unless wewe mwenyewe ukubali kushindwa.
Ukipata mdhamini wa kueleweka, utasepa na kijiji. Assume unabeba Wanaume TMK, Afande, Noorah, TID, Q Chief, Profesa, Wagosi nk, nani atakosa hiyo show?Changamoto ya wasanii wengi wa zamani ni ulaibu wa madawa ya kulevya pamoja na Bange
Otherwise wanavipaji vikubwa sana vya Muziki.
Kuna wakati nilitaka kuanzisha Mradi wa kufanya show na hao wasanii wa zamani as Wana nyimbo nyingi nzuri na bado Wana mashabiki wengi pia.
Bahati mbaya mambo hayakuniendea vizuri, ila baada ya Uchaguzi mwakani nitajaribu kufanya japo Kwa Mkoa mmoja uwe kama Pilot, biashara ikienda vizuri naweza kuendelea
Akitoa ngoma alikuwa anaziweka kwenye flash anazi-supply bodaboda na kwenye mabus ubungo stand, safarini nyimbo zao ni bandika banduaRadio ni hizo tu? Matamasha wanaandaa wao tu? Think outside the box waachane na hii victim mentality.
Boss wa sinza pazuri alipofanyiwa figisu akafungua media yake mwenyewe. Hakuanza malalamiko all day. Badilika tokana na mazingira dunia haijawahi kumuonea mtu huruma.
Mbona unakabia juu Mzee, ulihusika kwa namna moja ama nyingine au?Akili mgando. Mtu au company yeyote ile haiwezi kuua kipaji chako unless wewe mwenyewe ukubali kushindwa.