Mtemi Mbojo
JF-Expert Member
- Apr 27, 2017
- 891
- 1,569
Bila kusahau sauti yaKe tamu ya kuhuzunisha ndani ya Wimbo wa "TUTAKUKUMBUKA DAIMA MILELE" alioshirikishwa na Crazy GKPole sana Kwa TID Mnyama
Wakati mwengine pamoja na vipaji vikubwa walivyonavyo wasanii wetu, suala la nidhamu ya kazi ni muhimu sana kuwa nayo.
Kusema kweli, TID Mnyama ni Legendary mwenye kipaji na sauti adhimu sana
Hebu kasikilizeni Wimbo wa Zeze pamoja na wimbo wa Asha.
The guy is so so talented
Tumpe Maua yake akiwa hai tusisubiri afariki Dunia