Mtemi Mbojo
JF-Expert Member
- Apr 27, 2017
- 891
- 1,569
Bila kusahau sauti yaKe tamu ya kuhuzunisha ndani ya Wimbo wa "TUTAKUKUMBUKA DAIMA MILELE" alioshirikishwa na Crazy GKPole sana Kwa TID Mnyama
Wakati mwengine pamoja na vipaji vikubwa walivyonavyo wasanii wetu, suala la nidhamu ya kazi ni muhimu sana kuwa nayo.
Kusema kweli, TID Mnyama ni Legendary mwenye kipaji na sauti adhimu sana
Hebu kasikilizeni Wimbo wa Zeze pamoja na wimbo wa Asha.
The guy is so so talented
Tumpe Maua yake akiwa hai tusisubiri afariki Dunia
Jamaa ni talented sanaBila kusahau sauti yaKe tamu ya kuhuzunisha ndani ya Wimbo wa "TUTAKUKUMBUKA DAIMA MILELE" alioshirikishwa na Crazy GK
Hakika MkuuUkipata mdhamini wa kueleweka, utasepa na kijiji. Assume unabeba Wanaume TMK, Afande, Noorah, TID, Q Chief, Profesa, Wagosi nk, nani atakosa hiyo show?
Inategemea mkuu, maana vipaji vingi pia viliingia kwenye tasnia kwa kubebwa bebwa sasa ilikuwa wakiingia kwenye mgogoro ilikuwa watu wanapandishiwa show yaani siku una show nao msanii wao ambae kipindi hicho ndo wanakuwa nae bega kwa bega ndo nae wanamwandalia show the same day, uki-cancel na wao Wana cancel na promotion za kutosha na ukifanya mchezo hata wadhamini wanaingizwa kwenye zengwe (hapa sasa kama huna kifua unatoka relini kumbe ulitakiwa ukomae na kipaji chako)
Mbona unakabia juu Mzee, ulihusika kwa namna moja ama nyingine au?
Duh!, mwenyewe katangulia lkn machawa bado munaendeleza tabia zake.Ningehusika mimi ningepiga spana hata kuongelea tu asingeweza. Mzembe mpige spana tu asiombe hata maji.
Akitoa ngoma alikuwa anaziweka kwenye flash anazi-supply bodaboda na kwenye mabus ubungo stand, safarini nyimbo zao ni bandika bandua
Duh!, mwenyewe katangulia lkn machawa bado munaendeleza tabia zake.
Hilo gap huwa daima lipo, huwa tunawaita gate keepers π, na sio katika entertainment industry. Kwa sasa ipi ni ya kiseng* kama ulivyoita?Clauds ilikuwa redio ya kisenge sana ,imeuwa vipaji vingi sana
USSR