usser
JF-Expert Member
- Sep 25, 2015
- 13,956
- 14,032
Ukitaka vzr muite yy na qchilaUkitaka ufurah muite TID kwenye interview halaf muulize maswali ya kimbea utakipataa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukitaka vzr muite yy na qchilaUkitaka ufurah muite TID kwenye interview halaf muulize maswali ya kimbea utakipataa
Bishara ya serikaliBiashara ya Mbowe inaua vijana wetu
Yaan utafurahia showUkitaka vzr muite yy na qchila
Njia za kutafta kick nKwani si walipewa sharti la kuripoti sijui kwa ofisi gani kila mwezi ili wawe wanapimwa damu!!!
Au ilikuwa danganya toto ile?
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Shigongo si amlipe huyu buku 50 akafanye show Mbagala, au anatafuta watu wengine lawama tu?
TID alitangaza kuacha kutumia madawa kwa mbwembwe na kusema amebadilika kuwa mtu mstaarabuna siyo yule mwenye wenge kama zamani
Ila kwa interview aliyofanyiwa na EATV huenda TID keshayarudia...
Jamaa anadai jina lake la TID aitwe na watu wa mikoani tu sababu ni kuwa jina hilo ni maarufu kupita kiasi, watu wa Dar wamuite Khaleed au mnyama huku akiongea kama ana wenge flani hivi..nika sema Dah....
Aiseee!! Yan n hatar sanaYaan utafurahia show
Si nafuu Gym? Huyu alipelekwa kwenye studios na majukwaani kusupport promo ya Bashite kwenye vita fake ya madawa ya kulevya. Sasa karudi kulekule kwenye kubwia. Unga noma...Yaani badala ya kumpeleka teja sober house unampeleka gym,
Kama ni hivyo basi ina make sense...Njia za kutafta kick n
Nyingi mkuu
Kwa hawa mastaa wetu
Anyway umepoteana
Mkuu kitambo sana jukwaan
TID alitangaza kuacha kutumia madawa kwa mbwembwe na kusema amebadilika kuwa mtu mstaarabuna siyo yule mwenye wenge kama zamani
Ila kwa interview aliyofanyiwa na EATV huenda TID keshayarudia...
Jamaa anadai jina lake la TID aitwe na watu wa mikoani tu sababu ni kuwa jina hilo ni maarufu kupita kiasi, watu wa Dar wamuite Khaleed au mnyama huku akiongea kama ana wenge flani hivi..nika sema Dah....
What is Bashite......kwa nini hili neno/jina lisipigwe marufuku kutumika au kutajwa kama lile la RHINO ....Je sasa hivi kuna ruksa ya kumuita jina lake yule RHINONimemchukia tangu awe karibu na Bashite