TID amerudia tena kutumia madawa? Ameonyesha dalili za uteja!

TID amerudia tena kutumia madawa? Ameonyesha dalili za uteja!

bashite alitaka kudanganya watanzania .........................
"you can fool some people sometimes, but you cant fool all the people all the time"
alifanikiwa kunmdanganya magu lakini mimi sidanganyiki kwakweli
 
At least anaonekana ana mwili tofauti na Chid Benz
 
Inadhihirisha yale maigizo yao na bashite yamefeli 100
 
chezea ngada!
YANI WE UKAACHE UNGA KAMA UNAVYOACHA KUNYOA vuzi?
yani tu unaamua leo paap naacha ziwe ndefu mpk niwe na rasta za bob marley?
Si ingekuwa raha duniani?
 
TID alitangaza kuacha kutumia madawa kwa mbwembwe na kusema amebadilika kuwa mtu mstaarabuna siyo yule mwenye wenge kama zamani
Ila kwa interview aliyofanyiwa na EATV huenda TID keshayarudia...
Jamaa anadai jina lake la TID aitwe na watu wa mikoani tu sababu ni kuwa jina hilo ni maarufu kupita kiasi, watu wa Dar wamuite Khaleed au mnyama huku akiongea kama ana wenge flani hivi..nika sema Dah....


Aliacha lini?
 
badala ya kuenda sober house anaenda gym sasa hapo unategemea nini!?
 
chezea ngada!
YANI WE UKAACHE UNGA KAMA UNAVYOACHA KUNYOA vuzi?
yani tu unaamua leo paap naacha ziwe ndefu mpk niwe na rasta za bob marley?
Si ingekuwa raha duniani?
umekosa kabisa mfano mwingine tofauti na huo?
 
Huyu TID tangu alipoanza kuwa maarufu nilijua mwisho wake ni mbaya tu, yaani alianza kibri, dharau, majisifu kupita kiasi, alikuwa anajitahidi sana kumshusha Dully sykes, lakini Dully aliendelea kuwa busy na kazi zake, Dully mtoto wa mjini lakini hakulimbuka na unga, acha ulimwengu umfunze TID.
 
Huyu jamaa kwa talent aliyonayo alipaswa kuwa level sawa au zaidi ya Diamond lakini ndo hivyo kipaji hakikumpata mtu sahihi
 
Back
Top Bottom