TID amerudia tena kutumia madawa? Ameonyesha dalili za uteja!

Kwani si walipewa sharti la kuripoti sijui kwa ofisi gani kila mwezi ili wawe wanapimwa damu!!!

Au ilikuwa danganya toto ile?
Njia za kutafta kick n
Nyingi mkuu
Kwa hawa mastaa wetu


Anyway umepoteana
Mkuu kitambo sana jukwaan
 
Mnahangaika nao wa nini hawa vijana? Achaneni nao!! Hakuna haja ya kuwaonea huruma!
 
Shigongo si amlipe huyu buku 50 akafanye show Mbagala, au anatafuta watu wengine lawama tu?
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Aiseeee
 
Zile million 2 alizopewa na mh bashite bado zinamzingua
 
Nikipita tu na gari yangu TID, TID hahahaaaa
TID is too common meeen!
I hate that name
 
~~~>>>Aendelee kula ganga, kula pombe na kula ngada kwakuwa ndio maisha aliyochagua......

~~~~>>>>T.I.D a.k.a Mnyama nakutakia kila la kheri....
 
du!
sasa hayo madawa si yanampunguzia hata nguvu za huko sirini kweli!!!!
 
heri ya huyo TID kuliko hilo toto la kiume linavyojishaua kwenye MIC
 
Nimemchukia tangu awe karibu na Bashite
What is Bashite......kwa nini hili neno/jina lisipigwe marufuku kutumika au kutajwa kama lile la RHINO ....Je sasa hivi kuna ruksa ya kumuita jina lake yule RHINO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…