Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,256
- 16,317
mmmh ndo yanazidisha ngujudu!
sasa hayo madawa si yanampunguzia hata nguvu za huko sirini kweli!!!!
du!mmmh ndo yanazidisha nguju
Ukitaka ufurah muite TID kwenye interview halaf muulize maswali ya kimbea utakipataa
Aliacha lini?TID alitangaza kuacha kutumia madawa kwa mbwembwe na kusema amebadilika kuwa mtu mstaarabuna siyo yule mwenye wenge kama zamani
Ila kwa interview aliyofanyiwa na EATV huenda TID keshayarudia...
Jamaa anadai jina lake la TID aitwe na watu wa mikoani tu sababu ni kuwa jina hilo ni maarufu kupita kiasi, watu wa Dar wamuite Khaleed au mnyama huku akiongea kama ana wenge flani hivi..nika sema Dah....
chezea ngada!
YANI WE UKAACHE UNGA KAMA UNAVYOACHA KUNYOA vuzi?
yani tu unaamua leo paap naacha ziwe ndefu mpk niwe na rasta za bob marley?
Si ingekuwa raha duniani?
Ukitaka ufurah muite TID kwenye interview halaf muulize maswali ya kimbea utakipataa
umekosa kabisa mfano mwingine tofauti na huo?chezea ngada!
YANI WE UKAACHE UNGA KAMA UNAVYOACHA KUNYOA vuzi?
yani tu unaamua leo paap naacha ziwe ndefu mpk niwe na rasta za bob marley?
Si ingekuwa raha duniani?
Huo vp haujanoga?umekosa kabisa mfano mwingine tofauti na huo?