TID: Diamond naye wanataka kumuua, sijui wanataka kumuweka nani

TID: Diamond naye wanataka kumuua, sijui wanataka kumuweka nani

sky walker

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2018
Posts
1,160
Reaction score
831
Msanii TID amesema kuwa utaratibu wa wadau/media kushusha wasanii pale wanapodai maslai yao na kuwapandisha wengine ndio kitu kinaathiri muziki wa Bongo Flava.
34395131_2124980204413861_2924836457577185280_n-1.jpg

Muimbaji huyo ameeleza kuwa kitu hicho ndicho kilitokea kwenye muziki wake na kwa sasa kimemtokea Diamond.

“Na kweli anaweza because he has a media, yaani yeye ndio kama Mungu anajiona but mimi hapana. Nilifanya kosa hilo lakini kosa hilo ndilo limewasanua wasanii wengine, unaona msanii kama Diamond naye amekataa,” amesema.

“So Diamond was me lakini wakasema wewe siunajifanya mjanja sasa tunamleta Diamond tukushushe wewe. At the end Diamond naye wanataka kumuua, sijui wanataka kumuweka nani,” TID ameiambia Wasafi TV.

TID ameongeza kuwa hajaona kitu kama hicho nchini Kenya kwani bado anamuona Jaguar ni msanii mkubwa, Nonini ni msanii mkubwa anapewa heshima yake hakuna underground yeyote amewekwa pale kumshusha Nonini.
 
News ya ovyo kabisa...watz lini tutaacha kushabikia udaku?
Mtu na akili zake anaweka uzi km huu! Mnatuaribia wkend na low IQ zenu
Msanii TID amesema kuwa utaratibu wa wadau/media kushusha wasanii pale wanapodai maslai yao na kuwapandisha wengine ndio kitu kinaathiri muziki wa Bongo Flava.
34395131_2124980204413861_2924836457577185280_n-1.jpg

Muimbaji huyo ameeleza kuwa kitu hicho ndicho kilitokea kwenye muziki wake na kwa sasa kimemtokea Diamond.

“Na kweli anaweza because he has a media, yaani yeye ndio kama Mungu anajiona but mimi hapana. Nilifanya kosa hilo lakini kosa hilo ndilo limewasanua wasanii wengine, unaona msanii kama Diamond naye amekataa,” amesema.

“So Diamond was me lakini wakasema wewe siunajifanya mjanja sasa tunamleta Diamond tukushushe wewe. At the end Diamond naye wanataka kumuua, sijui wanataka kumuweka nani,” TID ameiambia Wasafi TV.

TID ameongeza kuwa hajaona kitu kama hicho nchini Kenya kwani bado anamuona Jaguar ni msanii mkubwa, Nonini ni msanii mkubwa anapewa heshima yake hakuna underground yeyote amewekwa pale kumshusha Nonini.
 
Suluhisho rahisi na la haraka kwa matatizo yako yote ni kumsukumia mtu mwingine
 
muziki wa diamond ni kweli unavionjo vizuri lakini kwa sisi tunaojua kiswahili kidogo hausikilizi ukiwa na watu wazima wanaojielewa lugha nyingi iliyobeba nyimbo zake ni ya picha ambazo kijamii haikai sawa na wanaoimba zaidi ni watoto wadogo wasiojua tafsiri na ujumbe uliobebwa katika nyimbo hizo na kuna wakati zinatia kinyaaa!
hivyo kama anaondoka mwache aende akaanzishe mziki wa bendi aimbe malaika nakupenda malaika kwenye bar na sherehe za harusi na hafla chache za serikali.
 
Kusema kuwa Media ina uwezo wa kumshusha au kumpandisha Msanii ni kuipa hiyo Media utukufu usio na uhalisia.

Na kama hilo ni rahisi kwa nini iwe ni Media moja tu, hao wengine wanashindwa nini?

Kwa hiyo enzi za kina Marijani Rajab alibebwa na RTD? maana Wanamuziki wengine walikuwepo pia.

Mimi nadhani ni uwezo wa Msanii mwenyewe zaidi kuliko media.
 
Kwahiyo anataka kutuambia kuwa media ndio zilikuwa zinamnunulia dawa za kulevya
 
Hakika kuanzishwa kwa Wasafi Tv halafu anayehojiwa anakua anatoa sifa kwa mmiliki hata kama kuna ukweli lakini kimuonekano inakua ni kama kujipendekeza tu.
 
Back
Top Bottom