TID - hizi ni frustrations ama?

africansongs

Member
Joined
Jan 5, 2018
Posts
83
Reaction score
225
Habarini wadau?
Ndugu TID naona mambo si mambo, na anaonekana yuko tungi balaa.
Je ni frustrations ama?
Your browser is not able to display this video.
 
Hahaha Yeye kalewa halafu anapigana na wasiolewa ---

Halafu mbona huo ni mtaa wa kwao ina maana hakuna hata aliye jitokeza kum-gombelezea. .?!!!...Dah! !ama kweli maradhi yote ugua lakini kuchacha usiombee
 
aisee nimeshangaa maana mitaa naijua hiyo, ugua maradhi yote ila sio kukosa hela nishawah kudhalilika sana kwa ndugu kisa sina hela, huwez pata msaada wowote....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…