Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Mzeee baba wewe upendii pesaa mkuu wangu!!Watangazaji, madj na producer wa vipindi vya burudani hawana utu siku zote wanawaza pesa ndio maana manyimbo famba yanapewa airtime sana
Njaa mbaya sana.. Hawana tofauti na trafficWatangazaji, madj na producer wa vipindi vya burudani hawana utu siku zote wanawaza pesa ndio maana manyimbo famba yanapewa airtime sana
So wamebaki wao wawiliWamemsusia na bashite wake
Dawa nyimbo unayoipenda ni kuidownload usisubiri uione kwenye tv au redionWatangazaji, madj na producer wa vipindi vya burudani hawana utu siku zote wanawaza pesa ndio maana manyimbo famba yanapewa airtime sana
Ndio ninachokifanya sasa hiviDawa nyimbo unayoipenda ni kuidownload usisubiri uione kwenye tv au redion
Sawa mkuu achana na huyo anayefanya kazi kumpa kiki mtu atuone wananchiNdio ninachokifanya sasa hivi
vipi diamond ambaye ni mlezi wake????? tafakari acha chuki,nchi hii ukitaka ujione una mkosi jaribu kuwa karibu na daud bashite
Inabidi wafungue vituo vyao vya radio sasaSo wamebaki wao wawili