Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]nchi hii ukitaka ujione una mkosi jaribu kuwa karibu na daud bashite
Ni Sauti Ya Dhahabu mkuuNilikua fan mkubwa sana wa TID, kipindi anatoa album ya kwanza ya Sauti ya Gharama nilijua fika atakuwa international musician.. ila alijipoteza mwenyewe... anachotakwa sasa apumzike muziki wa majukwaani, ajipange kiafya na muda huo arecord nyimbo. Then aanze upya-rebranding..after one year arudi upya na haya mambo ya bashite yatakua yameisha