Mpuuzi tu huyu, watu wamemtenga kwa sababu kaacha madawa wa kulevya? Wote wamemtenga kwa sababu hiyo isipokuwa Makonda! Huu ni udhalilishaji kwa watanzania kwani anamaanisha asiyetumia madawa ya kulevya nchi hii ni Makonda tu? Maana huwezi kumchukia mvuta bangi wakati na wewe unavuta!!Kuacha madawa kazi sana.
vipi diamond ambaye ni mlezi wake????? tafakari acha chuki,
Hasa Tid ni underground!?Napenda lakini sio kuwaomba hadi maaundergrounds
Nimemuonyesha kuwa rushwa ipo hata maanderground wanatoa sijamaanisha kuwa TID ni undergroundHasa Tid ni underground!?
Tid ana u underground gani?Napenda lakini sio kuwaomba hadi maaundergrounds
Watangazaji, madj na producer wa vipindi vya burudani hawana utu siku zote wanawaza pesa ndio maana manyimbo famba yanapewa airtime sana
TID anahonga ili zipigwe nyimbo zake zipi? Mpya au za zamani? Kama ni mpya, mbona hatuzisikii hata baada ya kuhonga?Njaa mbaya sana.. Hawana tofauti na traffic
hahahahahh kuna kaukweli hapanchi hii ukitaka ujione una mkosi jaribu kuwa karibu na daud bashite
TID sijaandika popote kuwa ni underground, nimetoa mfano tu kuwa hata maanderground wanatozwa kitu kidogoTid ana u underground gani?