TID: Huwa nahonga fedha ili muziki wangu upigwe redioni, watu wamenitenga isipokuwa Makonda

Kama kuhonga basi Diamond anahonga vizuri maana hakuna DJ ambae hapigi ngoma zake.
 
Anakosaje hela za kuhonga na yupo karibu na bilionea kijana Bashite?
 
Kutengwa na wabwia unga kusimtishe aache UNGA alafu aone kama atakosa rafiki.
 
Ni Sauti Ya Dhahabu mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…